Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
-
- #81
NATO ina mipasuko mingi sana.Masuala ya kiuchumi yanaifanya kila nchi ijiangalie upya.Wanaolazimisha mambo mpaka sasa ni Marekani na UK na kila mmoja yuko hoi.Kumbuka Marekani imekubali kutoa mabomu machafu kuipa Ukraine kwa kutangaza wazi wazi kuwa wameishiwa na silaha za kuipa Ukraine mpaka watakapotengeneza mpya.Inapasuliwa na nani? Vita kati ya Russia na Marekani itaigawa Ulaya hii sio masihala ila ndiyo ukweli! Usije kudhani Ujerumani atapenda kupigana na Urusi tena mara baada ya vita ya 2 ya Dunia, usije kudhani Hungary atapeleka majeshi yake kupigana Urusi! Ata huyo Poland nina wasiwasi nae kama atajichomeka kwenye hiyo vita! Kwasasa mshirika wa karibu kabisa wa Marekani wa kufa na kuzikana ni Uingereza tu.
Ujerumani nayo imepeleka silaha zilizopitwa na muda na hazifanyi kazi tena.Ukraine walipoziingiza uwanjani wakagundua hivyo wakasema watarudisha kwao.Kitu cha kugaiwa usifanye hasira ukarudisha baki nacho tu.Kwa vile inaomba omba itapelekewa kama hivyo tena na tena,