Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

Inapasuliwa na nani? Vita kati ya Russia na Marekani itaigawa Ulaya hii sio masihala ila ndiyo ukweli! Usije kudhani Ujerumani atapenda kupigana na Urusi tena mara baada ya vita ya 2 ya Dunia, usije kudhani Hungary atapeleka majeshi yake kupigana Urusi! Ata huyo Poland nina wasiwasi nae kama atajichomeka kwenye hiyo vita! Kwasasa mshirika wa karibu kabisa wa Marekani wa kufa na kuzikana ni Uingereza tu.
NATO ina mipasuko mingi sana.Masuala ya kiuchumi yanaifanya kila nchi ijiangalie upya.Wanaolazimisha mambo mpaka sasa ni Marekani na UK na kila mmoja yuko hoi.Kumbuka Marekani imekubali kutoa mabomu machafu kuipa Ukraine kwa kutangaza wazi wazi kuwa wameishiwa na silaha za kuipa Ukraine mpaka watakapotengeneza mpya.
Ujerumani nayo imepeleka silaha zilizopitwa na muda na hazifanyi kazi tena.Ukraine walipoziingiza uwanjani wakagundua hivyo wakasema watarudisha kwao.Kitu cha kugaiwa usifanye hasira ukarudisha baki nacho tu.Kwa vile inaomba omba itapelekewa kama hivyo tena na tena,
 
Wengi wameshindwa kuliona hili. Kuna wanaosema mrusi aliingia mtegoni.NATO nao kwa kutaka kumtega mwenzao wamejiingiza mtegoni kichwa kichwa kutoka kwa miguu ni shida.
Kama mrusi atafanikiwa na mbinu yake hii ya kuvikokota vita vifikie miaka 2.5 NATO itakuwa imeshasambaratika kijeshi na kiuchumi.
Hakika
Wstu wengi wanafhabi vita ni ubora wa silaha. Lakini ukiwa na akili unaweza kukiteka kifaru kwa kutumia chupa ya soda tu
 
NATO ina mipasuko mingi sana.Masuala ya kiuchumi yanaifanya kila nchi ijiangalie upya.Wanaolazimisha mambo mpaka sasa ni Marekani na UK na kila mmoja yuko hoi.Kumbuka Marekani imekubali kutoa mabomu machafu kuipa Ukraine kwa kutangaza wazi wazi kuwa wameishiwa na silaha za kuipa Ukraine mpaka watakapotengeneza mpya.
Ujerumani nayo imepeleka silaha zilizopitwa na muda na hazifanyi kazi tena.Ukraine walipoziingiza uwanjani wakagundua hivyo wakasema watarudisha kwao.Kitu cha kugaiwa usifanye hasira ukarudisha baki nacho tu.Kwa vile inaomba omba itapelekewa kama hivyo tena na tena,
Tukeemee ssna hii vita kwa ssbabu wanaoumia siyo viongozi bali ni raia
 
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.

Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.

Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.

ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.

Ukraine must now take the war into Russia

Ukiwaamini wamarekani unastahili kuhurumiwa!! Marekani wako kwenye biashara ya silaha!! Hizi silaha anazopewa Ukraine siyo hisani!! Ni mkopo wa muda mrefu wenye riba!! Ni kama vile Marekani ilivyozikopesha nchi za ulaya wakati wa vita kuu ya pili!! Marekani inajua kabisa kuwa Ukraine haiwezi kutoboa mbele ya Urusi, lakini haiwezi kabisa kuachia hii fursa ya kuuza silaha zake na kutoa mikopo ya muda mrefu renye riba!!
 
Back
Top Bottom