Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke.
Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume.
Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake mnaowafanya adui ili kuibua utengano na uvunjifu wa maadili ndo mama za mwanaume, ndo Binti zetu, ndo shangazi zetu, ndo wakwe n.k.
Hivi **** mwanaume atadhulumu haki ya mama yake, Binti, shangazi, bibi au rafiki?

NGOs ziliingiwa kuwatetea wanawake Sasa wanawake ambayo hawakuchuja wakajawa na ujuaji na kibri ati wanaweza ndo hao hawaolewi, wamekuwa ma single mother, mkopo ya vikoba na kausha damu inawaandama wanawake, wanafanya biashara bila faida, wamekuwa wasagaji, wadangaji maana wanaume hawataki wanawake wajuaji,
Wanawake nawambieni tu jiepushe na hizo hamasa na elimu bandia za usawa, mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaum
 
Kama huwajui wanaume unaweza kudhani haya ni kwa ajili ya kuwatetea wanawake, kumbe nao wanaipambania furaha yao ila hawataki tu kukiri, badala yake wameamua kujifanya wanawasemea wanawake wakidhani labda wanawake watawasikiliza
 
Mfano furqha gani? Sex? Kufuliwa nguo? Kupikiwa? Mbona hizi ni huduma zinazopatikana kwa kulipia tu. Yanayongelewa usifikiri walengwa ni mademu wetu tu. Hata dada, mama, shangaz, wadogo zetu wa kike nao ni wanawake tunaona wanavyoayhirika na hii trend ya kujifanya super women sijui wapambanaji na athari izo sometimes zinatugusa na sisi. Madeni ya vikoba yanayowashinda ndugu tunalazimika kuyalipa, wakitiwa mimba na badboyz huo ni msalaba na aibu kwenye familia. Tunavyoyaongea hapa usifikiri tunawalenga mademu zetu tu hata ndugu zetu wa kike nao wanahusika. Wewe kama una trauma ya kupigwa matukio na badboyz acha kutengeneza hoja zako ukiongozwa na kinyongo fikiria wanawake wote kwa ujumla wakiwemo wadogo zako, dada zako n.k
 
Natamani hizi kampeni zingelenga kwenye haki zaidi kuliko usawa, kwa maana mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke vilevile. Mungu tu hakuweka usawa ijekuwa sisi wanaadamu?

Ila kwenye haki ndipo pa kutilia mkazo, mwanamke apate haki stahiki asikandamizwe sababu tu yeye ni mwanamke.
 
Babuuu umejishtukia tu kama unapupu kichakani, fanya yako.....achana na mambo ya wanawake
Ameongea ukweli hii kasumba ya kujifanya wapambanaji sijui super women inawatesa sana na pamoja na jeuri yenu ya kutaka kutunishiana msuli na wanaume mtalukaluka wewe lakini mwishoe athari za mlichokifanya kama kushindwa kulipa mikopo ya kaush damu, kutiwa mimba mkiwa nyumbani atayezibeba ni mwanaume uyo uyo either mumeo, kaka. Baba n.k tatizo lenu mnafikiri walengwa ni waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi tu hamuangalii picha kwa upana na kuona hata dada, shangazi, mabinti wenu nao wapo kwenye kundi la wanawake
 
Natamani hizi kampeni zingelenga kwenye haki zaidi kuliko usawa, kwa maana mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke vilevile. Mungu tu hakuweka usawa ijekuwa sisi wanaadamu?

Ila kwenye haki ndipo pa kutilia mkazo, mwanamke apate haki stahiki asikandamizwe sababu tu yeye ni mwanamke.
Una hoja usikilizwe
 
Ameongea ukweli hii kasumba ya kujifanya wapambanaji sijui super women inawatesa sana na pamoja na jeuri yenu ya kutaka kutunishiana msuli na wanaume mtalukaluka wewe lakini mwishoe athari za mlichokifanya kama kushindwa kulipa mikopo ya kaush damu, kutiwa mimba mkiwa nyumbani atayezibeba ni mwanaume uyo uyo either mumeo, kaka. Baba n.k tatizo lenu mnafikiri walengwa ni waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi tu hamuangalii picha kwa upana na kuona hata dada, shangazi, mabinti wenu nao wapo kwenye kundi la wanawake
Bro jifunze kutojipa umuhimu kwenye maisha ya mtu/watu 🤝
 
Na kwa sisi wanaume...uwe umesoma au hujasoma jua kabisa hawa ndugu zetu wana akili...wana jicho la tatu...unaweza mzingua ukijua ni mfumo dume umekubeba kumbe anakulia tyming tu...kwa kifupi hatuwawezi kamwe...Hivi mwenyewe tu aliye waumba...alisema ishi nao kiakili..tafsiri yake nini...wewe timiza tu majukumu yako...tusiyakane maandiko...tutatafuta kwa jasho na wao watazaa kwa uchungu...ikitokea katafuta chake ni chake hurusiwi kutolea macho...
 
Back
Top Bottom