DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Africa , is too self-centered
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa basi nenda ukale.....mchana mwemaWewe ni ferminist wale wale wanawake wa 50/50 umekuja na mbinu ya reverse tu. Hatuwezi kufika hitimisho hapa acha tufunge mjadala tu ili kuokoa muda
Wamama wanajielewa .Mimi mama yangu mbona yuko vizuri anapambana na anmetoboa na she is very smart .
Asante nimeshakula tayari.. mchana mwema kwako pia.Sawa basi nenda ukale.....mchana mwema
Acheni hizi porojo zenu tumeshazizoea, kwenye ndoa za siku hizi ni jinsia gani inaongoza kwa kulalamikia maovu ya nyenzie, na unadhani ni kwa sababu ganiMfano furqha gani? Sex? Kufuliwa nguo? Kupikiwa? Mbona hizi ni huduma zinazopatikana kwa kulipia tu. Yanayongelewa usifikiri walengwa ni mademu wetu tu. Hata dada, mama, shangaz, wadogo zetu wa kike nao ni wanawake tunaona wanavyoayhirika na hii trend ya kujifanya super women sijui wapambanaji na athari izo sometimes zinatugusa na sisi. Madeni ya vikoba yanayowashinda ndugu tunalazimika kuyalipa, wakitiwa mimba na badboyz huo ni msalaba na aibu kwenye familia. Tunavyoyaongea hapa usifikiri tunawalenga mademu zetu tu hata ndugu zetu wa kike nao wanahusika. Wewe kama una trauma ya kupigwa matukio na badboyz acha kutengeneza hoja zako ukiongozwa na kinyongo fikiria wanawake wote kwa ujumla wakiwemo wadogo zako, dada zako n.k
Kwakweli sijui sababu ya moja kwa moja.....Kwanini huo makesi mahakamani ni mengi siku hizi?
Wamama wanajielewa .
Utakuta anatimiza jukumu la kuwa mama na kufanya shughuli zake kama kawaida.
Kuna hawa yani unakuta wabishi, wakopaji, hawarudi nyumbani Kwa wakati wako kwenye semina za usawa,
Wanataka watawale waume zao
Haujaelewa mada wewe. Mada imewagusa wanawake kwa ujumla dada, mama, mke, shangazi n.k sio waliopo ndoani tu. Mbona unalazimisha kuipeleka mada katika mlengo wako tofauti. Hata hawa wakina dada wanaoshindwa kulipa mikopo ya kausha damu ndugu tunalazimika kubeba huo msalaba wa kuyalipa, mabinti wanaopewa mimba na kuzalia nyumbani ndugu tunalazimika kubeba iyo aibu hao wote ni wanawake na wamelengwa kwenye mada. Kipi ambacho hauelewi wewe?Acheni hizi porojo zenu tumeshazizoea, kwenye ndoa za siku hizi ni jinsia gani inaongoza kwa kulalamikia maovu ya nyenzie, na unadhani ni kwa sababu gani
Kwani hizi 50/50 wanawake huwa wanadai nini??? Mie sijawahi kuzingatia hili.....
Kwamba 50/50 ni package yenye nini!?
......una kitu bibie, nimekupenda ghafla, ongezekeni kidogo dunia iwe saved.....Natamani hizi kampeni zingelenga kwenye haki zaidi kuliko usawa, kwa maana mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke vilevile. Mungu tu hakuweka usawa ijekuwa sisi wanaadamu?
Ila kwenye haki ndipo pa kutilia mkazo, mwanamke apate haki stahiki asikandamizwe sababu tu yeye ni mwanamke.
Hawa feminist wana matatizo vichwani.Haujaelewa mada wewe. Mada imewagusa wanawake kwa ujumla dada, mama, mke, shangazi n.k sio waliopo ndoani tu. Mbona unalazimisha kuipeleka mada katika mlengo wako tofauti. Hata hawa wakina dada wanaoshindwa kulipa mikopo ya kausha damu ndugu tunalazimika kubeba huo msalaba wa kuyalipa, mabinti wanaopewa mimba na kuzalia nyumbani ndugu tunalazimika kubeba iyo aibu hao wote ni wanawake na wamelengwa kwenye mada. Kipi ambacho hauelewi wewe?
Kama uyo jadda ndio anapenda ligi kinoma subiri akiweka bando atarudi nakwambia atabishana na watu 100 peke ake hapa, uyo dawa yake unampa somo na reply moja au mbili tu unaachana naeHawa feminist wana matatizo vichwani.
Wanawakaza sumu wanawake na semina zao na waathirika wa hizo harakati ni wanawake wenyewe
Unaweza kufafanua in Details kuwa ni furaha gani hiyo wanaume ambayo wanaipambania na kwasababu zao binafsi zikiwa zipi? [emoji848]Kama huwajui wanaume unaweza kudhani haya ni kwa ajili ya kuwatetea wanawake, kumbe nao wanaipambania furaha yao ila hawataki tu kukiri, badala yake wameamua kujifanya wanawasemea wanawake wakidhani labda wanawake watawasikiliza
Sasa kama wanawake wangekuwa hawanyanyaswi watu wangepoteza muda wao kuanzisha hizo NGOs, kwahiyo wanaume kuwazalisha mabinti na kukimbia majukumu unaona ni sawa ila shida iko kwa wanawake tu si ndio, malalamiko yanayotoka kwa wanaume wengi kwenye ndoa dhidi ya wake zao yanadhihirisha wanaume ndio wanateseka zaidi na maovu ya wanawake ndio maana wao ndio wanayapigia keleleHaujaelewa mada wewe. Mada imewagusa wanawake kwa ujumla dada, mama, mke, shangazi n.k sio waliopo ndoani tu. Mbona unalazimisha kuipeleka mada katika mlengo wako tofauti. Hata hawa wakina dada wanaoshindwa kulipa mikopo ya kausha damu ndugu tunalazimika kubeba huo msalaba wa kuyalipa, mabinti wanaopewa mimba na kuzalia nyumbani ndugu tunalazimika kubeba iyo aibu hao wote ni wanawake na wamelengwa kwenye mada. Kipi ambacho hauelewi wewe?
Haujaelewa mada upo confused hata haujui unatetea nini, unaleta maelezo ambayo hata hayahusiani na topic na kuelekezwa hautaki. Itoshe tu kusema asante kwa comment yakoSasa kama wanawake wangekuwa hawanyanyaswi watu wangepoteza muda wao kuanzisha hizo NGOs, kwahiyo wanaume kuwazalisha mabinti na kukimbia majukumu unaona ni sawa ila shida iko kwa wanawake tu si ndio, malalamiko yanayotoka kwa wanaume wengi kwenye ndoa dhidi ya wake zao yanadhihirisha wanaume ndio wanateseka zaidi na maovu ya wanawake ndio maana wao ndio wanayapigia kelele
Haka ni katoto hakajui maisha hapa kaongea hapo kwa kutumia WiFi ya Daddy na mommy, na kamemaliza form six au chuo kazi kanakwenda kufanya kwenye kampuni ya daddy na mommy so hakajui hata life la vicoba, kausha damu linaendeshwaje. Kakiwa na shida, Baba na mama wapo wanakashika mkono, sista na bro wapo vema so shida anazowaza ni ile trip ya kwenda uingereza kimasomo nita apply lini, hayo ndio matatizo ambayo kwake yapo ila swala la mateso ya mtaani anayajulia wapo sololabien mtoto shanta wa kishua huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfano furqha gani? Sex? Kufuliwa nguo? Kupikiwa? Mbona hizi ni huduma zinazopatikana kwa kulipia tu. Yanayongelewa usifikiri walengwa ni mademu wetu tu. Hata dada, mama, shangaz, wadogo zetu wa kike nao ni wanawake tunaona wanavyoayhirika na hii trend ya kujifanya super women sijui wapambanaji na athari izo sometimes zinatugusa na sisi. Madeni ya vikoba yanayowashinda ndugu tunalazimika kuyalipa, wakitiwa mimba na badboyz huo ni msalaba na aibu kwenye familia. Tunavyoyaongea hapa usifikiri tunawalenga mademu zetu tu hata ndugu zetu wa kike nao wanahusika. Wewe kama una trauma ya kupigwa matukio na badboyz acha kutengeneza hoja zako ukiongozwa na kinyongo fikiria wanawake wote kwa ujumla wakiwemo wadogo zako, dada zako n.k
Furaha ya kuwa na wake wema kwenye ndoa wake ambao watakuwa tayari kuwatii, kuwanyenyekea, kuwafariji na kuwaliwaza waume zao, maana those are among what make most men feel superior and sane in one way or another tofauti na hali ilivyo sasa, ambayo ndio inapelekea malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuliko kwa wanawakeUnaweza kufafanua in Details kuwa ni furaha gani hiyo wanaume ambayo wanaipambania na kwasababu zao binafsi zikiwa zipi? [emoji848]
@Nifah nakupenda nipo tayari kuwa mume wa pili usijali nitakulea we na mume mwenzangu, na wote nitawaandika kwenye urithi.Natamani hizi kampeni zingelenga kwenye haki zaidi kuliko usawa, kwa maana mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke vilevile. Mungu tu hakuweka usawa ijekuwa sisi wanaadamu?
Ila kwenye haki ndipo pa kutilia mkazo, mwanamke apate haki stahiki asikandamizwe sababu tu yeye ni mwanamke.