Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

Kwani hizi 50/50 wanawake huwa wanadai nini??? Mie sijawahi kuzingatia hili.....

Kwamba 50/50 ni package yenye nini!??
Wanadai uongozi, uhuru, ati wanawake wanaweza, wasikae jikoni,.
Bora tu ubishi uwepo kwenye familia
Usiombe ukutane na mwanamke aliyetoka kwenye semina za usawa.
Hata ukimwomba unyumba anaweza sema unataka kumbaka
 
Uongozi mbona wapo, jikoni means mme akate vitunguu na chinese mke akae sebleni??? Au
 
Bro jifunze kutojipa umuhimu kwenye maisha ya mtu/watu 🤝
JF ni mtandao wa kijamii mada inaongelea mambo yanatokea kwenye jamii kwa ujumla wala hakuna mtu alielengwa yeye binafsi. Hakuna aliejipa umuhimu kwenye maisha yako kama mada imekupiga kwenye mfupa basi nia haikua kukulenga wewe binafsi imetokea tu coincedence upo kwenye sample aliyoiongelea mtoa mada
 
Nadhani haujanielewa......na sipo katika nafasi ya kueleza sana sahivi.

Naomba nikutakie lunch njema
 
Uongozi mbona wapo, jikoni means mme akate vitunguu na chinese mke akae sebleni??? Au
Anataka atawale sawa au zaidi ya mwanaume,
Mwanaume asiwe na kauli.
Akiombwa unyumba aseme anabakwa.

Siku hizi wakiona umejitafuta umejenga kanyumba wanakimbia mahakamani kudai talaka wagawane mali huo ndo ushauri kutoka kwenye NGOs zao
 
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke.
Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume.
Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake mnaowafanya adui ili kuibua utengano na uvunjifu wa maadili ndo mama za mwanaume, ndo Binti zetu, ndo shangazi zetu, ndo wakwe n.k.
Hivi **** mwanaume atadhulumu haki ya mama yake, Binti, shangazi, bibi au rafiki?

NGOs ziliingiwa kuwatetea wanawake Sasa wanawake ambayo hawakuchuja wakajawa na ujuaji na kibri ati wanaweza ndo hao hawaolewi, wamekuwa ma single mother, mkopo ya vikoba na kausha damu inawaandama wanawake, wanafanya biashara bila faida, wamekuwa wasagaji, wadangaji maana wanaume hawataki wanawake wajuaji,
Wanawake nawambieni tu jiepushe na hizo hamasa na elimu bandia za usawa, mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaum
Ume hit the point mkuu, sema vichwa ngumu hawawezi kuelewa. Mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu...
 
Anataka atawale sawa au zaidi ya mwanaume,
Mwanaume asiwe na kauli.
Akiombwa unyumba aseme anabakwa.

Siku hizi wakiona umejitafuta umejenga kanyumba wanakimbia mahakamani kudai talaka wagawane mali huo ndo ushauri kutoka kwenye NGOs zao
Mbona kama hii ni exaggration??? Yani umekutana na mwanamke....hauna chochote ukajenga nyumba hii hapa mke anakimbia mahakamani kuidai??

Una uhakika haujaoa mtu mwenye tatizo la akili, kama maelezo yako ni ya kweli?!
 
Fika mahakama iliyo karibu nawe utaona ujinga wa wanawake
 
Ndo wanasema hivi???

Ofisi itakuaje na viongozi wawili sasa
Ofisini, serikalini nafikiri uko wanaume hatuna shida napo tunaona maboss na mawaziri wanawake na mambo yanenda vizuri tu hata Rais wetu ni mwanamke na hakuna shida tatizo linaanzia pale ambao wanawake wanataka kuupeleka huo uboss nyumbani kwa waume zao.
 
We amka asubuhi siku Moja fika mahakama ya wilaya uone wanawake walivojaa nje wakidai talaka wagawane nyumba.
Ili wakawe ma single maza eti wapambane na maisha.
Wakipewa mali hawawezi wanafrisika wanaishia kudanga
Nauliza.....umekutana na huyo ke, mkaishi ukiwa huna kitu ukaibuka na kujenga mwenyewe BILA MSAADA WA HALI WALA MALI?? then anaidai?

Usiweke hisia
 
Ofisini, serikalini nafikiri uko wanaume hatuna shida napo tunaona maboss na mawaziri wanawake na mambo yanenda vizuri tu hata Rais wetu ni mwanamke na hakuna shida tatizo linaanzia pale ambao wanawake wanataka kuupeleka huo uboss nyumbani kwa waume zao.

Ukiona mwanamke anataka kuwa boss ndani....I SWEAR mwanaume una shida
 
Nauliza.....umekutana na huyo ke, mkaishi ukiwa huna kitu ukaibuka na kujenga mwenyewe BILA MSAADA WA HALI WALA MALI?? then anaidai?

Usiweke hisia
Anaweza akawa arishiriki labda Kwa kuchangia kunipa usingizi na utelezi usiku.
Sasa kwani hizo kesi za ujuaji ziibuke kipindi hiki?
 
Mbona kama hii ni exaggration??? Yani umekutana na mwanamke....hauna chochote ukajenga nyumba hii hapa mke anakimbia mahakamani kuidai??

Una uhakika haujaoa mtu mwenye tatizo la akili, kama maelezo yako ni ya kweli?!
Mbona unaonekana kama vile na wewe ni wale wale waumuni wa 50/50 umekuja tu kwa mbinu ya reverse
 
Back
Top Bottom