Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

We sema tu unataka kukwepa hoja hayo maelezo yana urefu gani wewe mara ngapi tunakutanaga kwenye mijadala kama hii, naandikaga magazeti marefu zaidi ya hilo na unasoma na kujibu magazeti ambayo nami huwa nayasoma pia halafu leo unasema huwezi kusoma, kama huwezi kusoma maelezo yangu basi haina haja ya kuniquote maana inapoteza maana nzima ya huu mjadala hayo mengi yote uliyoandika hapo nafikiri kuna comment ina majibu yake
Acha blah blah. Unataka usawa basi tu-apply usawa kwenye kila kitu kinachotukutanisha kiwe sex tu. Kila mmoja anakaa kwake kila mmoja anawajibika kujihudumia mwenyewe ukija geto kwangu unatombwa unasepa nikija kwako nakutomba nasepa hakuna mambo ya kubebeshana gharama za nauli wala matunzo. Tukilala lodge au tukitoka out gharama zote zinaganywa 50/50, ukivamiwa na kibaka au kufanyiwa uonevu na mwanaume utamzibiti mwenyewe bila msaada wa mwanaume mwingine. Upo tayari?
 
Unaongea mambo ambayo hauyajui vzr haujui ubaguzi wa kijinsia ni nini, haujui unyanyasaji wa kijinsia ni nini, haujui mfumo dume ni nini yote unayaweka kwenye fungu moja. Mfumo dume ni kitu kingine na unyanyasaji wa kijinsia ni kitu kingine. Kwenye malezi wa familia nina-prefer mfumo dume. Mwanaume awajibike ku-provide security kwenye familia na mwanamke awajibike mambo yote ya nyumbani kama usafi, jikoni n.k yapo sawa hapo haimaanishi ya kwamba mimi ni mnyanyasaji wa wanawake sasa wewe ukianza kutetea huo usawa unaoutaka mtu anaweza fikiri hao wapenzi wetu huwa tunawacharaza bakora kama ng'ombe
 
Kuuvaa uanaume ndiyo kukoje huko hebu kuelezee

Wewe una mifano ya wanawake wangapi ambao wakipata mafanikio wanakuwa feminists ila wakiwa broke wanakuwa submissive, una uhakika gani kwamba hao feminists ndio hao hao wanaobadilika na kuwa submissive kulingana na hali zao za kiuchumi hebu tujadili uhalisia siyo mtazamo wako binafsi, kuhusu majukumu nimeshaongea na wewe sana kuhusu hili ila kila siku unarudia yale yale nilishakuambia siku mkikubali kufanya majukumu yote mnayoyaita ya mwanamke na kuyachukulia kama yenu basi hata wanawake wataanza kufanya yenu na kuchukulia kama ya kwao

Na ndio hiki nilichokuwa nasema kwamba mnajenga hoja zenu based on social constructs halafu mnasingizia eti nature na mkiulizwa msingi wa hiyo nature yenu mnadai tunapingana na uhalisia, hivi kwanini unalazimisha kumtawala kiumbe mwenye utashi kama wewe yani unalazimisha kumtawala kwa misingi gani hiyo ambayo inashindwa kubadilika kulingana na wakati na mazingira, na kwanini wanaume ndio muamue kipi kinachowafurahisha wanawake na kipi kinachowaumiza kwanini mnawasemea, kama wao wanawake wanaona kwamba kuwa chini ya wanaume kunawapa maumivu zaidi kuliko kujitawala wenyewe kwanini ninyi mnapinga, na kuwalazimisha waone kwamba kuwa chini yenu ndio kunawapa furaha zaidi kuliko kujitawala wenyewe kwani mmewashikia akili kwamba wao hawawezi kuamua ni lipi linaloleta furaha na lipi linaloleta huzuni kwao
Sijakuelewa mwanaume amekuwa amemtawala mwanamke kivipi?
Kwaiyo mwanamke yupo kwenye vita ya kufanya mapinduzi kumtawala mwanaume?
Unataka mwanamke apewe Nini au apate Nini ndo ujue huu Sasa ndo usawa
 
Umelinganisha ubaguzi wa rangi (race discrimination) na mfadhaiko wa kijinsia (gender dysphoria).

Swala na wazungu kubagua waafrika ni swala la kibaguzi of which haki na maslahi hayana mashiko na rangi bali haki ya kimsingi ya kibinadamu.

Mtu mweupe akiachana na mwafrika na wasiingiliane hakuna kitakacho haribika kwasababu watu weusi wataendelea kudominate dunia, watazaliana kwa wingi na kutengeneza political space ya watu weusi na hatimae kustawi na kuwa superior race sababu watajanga system zao.

Haya tugawane mabara hapa. Feminists mpewe bara lenu mtengeneze Utopian state ya feminists, mtatoboa?

Mtajipiga miti wenyewe, mtazaliana vipi, nani atakuwa mama na nani atakuwa baba, nani atasimamia nje ya nyumba nani atasimamia ndani ya nyumba?

Hivi unajua recently Feminism imeanza kuwa. Classified kama mental health issue? [emoji848]

Huko magharibi 3rd wave feminism propaganda imekuwa associated na gender dysphoria issues kama ushoga, transsexualism, mental issues kama depression, suicides, devorce, low birth rate etc.

Why wewe unahisi upo sahihi sana kusapoti ujinga kama kama huu halafu unataka uonekane ni mwanamke unayoitakia mema jamii yako? [emoji848]
Si unaona sasa ujengaji wako wa hoja ulivyo yani unashindwa kuelewa kwamba suala la kutawalana halihusiani na either kuishi mahali pamoja au tofauti yani mtu mweupe na mtu mweusi wanaweza kuishi kwa kutegemeana bila kutawalana, vivyo hivyo mwanaume na mwanamke wanategemeana hivyo wanaweza kuishi pamoja ila si lazima iwe katika ule mtazamo wa kutawalana bali kutegemeana tu sasa hayo mambo ya kugawana mabara yanatoka wapi, si lazima mmoja awe anamtawala mwenzie bali kila mtu aweze kujitawala mwenyewe na wote waweze kuheshimiana na kusikilizana sasa ninyi mnataka lazima mwanaume amtawale mwanamke kwa kile mnachodai mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja

Yani ni kama Marekani anavyotaka a unipolar world kwa kuamini kwamba dunia haiwezi kuwa na more than one superpower hivyo anajaribu kujihami na kumfanyia figisu yeyote anayejaribu kushindana naye sababu anamuona kama threat, ila kina Russia and co wanataka a multipolar world kwa kuamini kwamba inawezekana kabisa dunia kuwa na more than one superpower na wote wakategemeana kama kawaida na maisha yakaenda vizuri kabisa, sasa cha ajabu waafrika wengi sasa hivi wanajidai ni Pro Russia huku wakimchukia USA kwa huo uonevu wake ila ukiwaambia wanaume suala la kumpa uhuru kama huo mwanamke weee zitaibuka propaganda hapo za duniani na ahera, all in all hoja yangu ni kuwa kama watu weusi tunavyodai haki toka kwa wazungu kwa kuona kwamba wanatubagua, ndivyo hivyo hivyo wanawake nao wanavyodai haki toka kwa wanaume kwa kuona kwamba wanawakandamiza wala hakuna tofauti kubwa sana hapo

Kuhusu suala la kuwa na matatizo ya akili nafikiri kabla hamjawashangaa feminists jishangaeni kwanza ninyi wanaume kwa kuona kwamba hamuwezi kuwa wanaume hadi muwatawale wanawake au hamuoni kama hilo nalo ni tatizo la akili, yani wewe ili ujione superior basi ni mpaka umuweke binadamu mwenzio mwenye utashi kama wewe chini yako akutii na akusikilize kila unachosema hata kama hakijamfurahisha, yani hapo ndio unajisikia vizuri na kujiona mwanaume huwezi kujiona mwanaume kamili nje ya hapo, na kuhusu homosexuality na divorce na hayo mengine yote wala msiisingizie feminism kwa sababu hayo yalikuwepo since ancient and medieval eras kipindi mfumo dume umekita mizizi yake long ago before even feminism was officially introduced, hakuna jipya chini ya jua so msitafute wa kumuangushia zigo sababu kwenye hayo maovu hata mfumo dume ulifeli maana hayakuanza juzi wala jana
Me naomba siku tukutane Twitter space, halafu ujenge hoja zako vema, haya yote tunayoongea tuyapeleke kule tuongee man to man halafu tuone ukijenga hoja zako kwa kinywa, unasemaje? [emoji848]
Sasa kwani ni kipi ambacho unataka kukiongea kule na unashindwa kukiandika hapa we si uandike tu hapa tujadiliane, nilishakuambia mimi sipo active kwenye social media nyingine zaidi ya jf kwa maana ya kutoa michango ila i don't know what makes you think kwamba siwezi kujadiliana mano a mano haya ninayoyaandika, nilishakuambia humu jf tulikuwa na watu wanajua kujenga hoja zaidi yako kwenye mada kama hizi tulikuwa tunakesha tunabishana mpaka kinaeleweka halafu wewe unataka kuleta habari za spaces sijui vitu gani as if platform ndio inaamua uwezo wa mtu wa kujenga hoja be serious please
 
Christina shusho, joyce kiria n.k.. nawe nitajie hao wanaume wanatetea mfumo dume mitandaoni ambao kwa mujibu wako unasema ni wengi kuliko wanawake
Duuh kwahiyo hao ndio wakipata mafanikio wanakuwa feminists ila wakiwa broke wanakuwa submissive, ndivyo walivyo kuambia au ni mawazo yako binafsi ndio unayalazimisha yawe uhalisia ili utetee uwongo wako, kuhusu wanaume wanao tetea mfumo dume si nimekuambia angalia humu jf idadi yenu na ulinganishe na sisi mnaotuita feminists au hilo linakushinda
 
Duuh kwahiyo hao ndio wakipata mafanikio wanakuwa feminists ila wakiwa broke wanakuwa submissive, ndivyo walivyo kuambia au ni mawazo yako binafsi ndio unayalazimisha yawe uhalisia ili utetee uwongo wako,
Tunaona matendo yao. Shusho aliolewa akiwa kapuku baada ya kupata mafanikio ya kimuziki tunaona jinsi anavyomdhalilisha mumewe. Bado haujanitajia wanaume public figure wanaopigania mfumo dume ushike hatamu
kuhusu wanaume wanao tetea mfumo dume si nimekuambia angalia humu jf idadi yenu na ulinganishe na sisi mnaotuita feminists au hilo linakushinda
Umesema mitandaoni hauja single out jf, mitandao ya kijamii ipo mingi sana.
 
Ukiachilia mbali kuzaa na kunyonyesha majukumu ambayo kibailojia wanaume hatuyawezi majukumu mengine ya nyumbani yote huwa tunawasaidia wapenzi wetu kama muda unaruhusu.
"Kama muda unaruhusu" si unaona sasa, kwani wanawake wanaotafuta pesa kama ninyi muda wa kufanya kazi za nyumbani wanaupata wapi, ambao ninyi mnaukosa na hadi muupate ndio mzifanye hizo kazi
Acha blah blah. Unataka usawa basi tu-apply usawa kwenye kila kitu kinachotukutanisha kiwe sex tu. Kila mmoja anakaa kwake kila mmoja anawajibika kujihudumia mwenyewe ukija geto kwangu unatombwa unasepa nikija kwako nakutomba nasepa hakuna mambo ya kubebeshana gharama za nauli wala matunzo. Tukilala lodge au tukitoka out gharama zote zinaganywa 50/50, ukivamiwa na kibaka au kufanyiwa uonevu na mwanaume utamzibiti mwenyewe bila msaada wa mwanaume mwingine. Upo tayari?
Hilo mbona halina shida yani hapa tunaongelea kuishi wewe mwenyewe bila kuhitaji usaidizi wa mwanamke yeyote, hata mkipata mtoto mnakuwa mnapokezana kumlea mfano wiki hii anakuwa kwa mama wiki ijayo kwa baba na maisha yanaendelea, yani mnavyoongeleaga hilo suala la kupambana na vibaka utafikiri hizi cases tunazozisikia za vibaka kuvamia nyumba na kucharanga wote mapanga au kubaka wanawake zinatokea sayari nyingine
Unaongea mambo ambayo hauyajui vzr haujui ubaguzi wa kijinsia ni nini, haujui unyanyasaji wa kijinsia ni nini, haujui mfumo dume ni nini yote unayaweka kwenye fungu moja. Mfumo dume ni kitu kingine na unyanyasaji wa kijinsia ni kitu kingine. Kwenye malezi wa familia nina-prefer mfumo dume. Mwanaume awajibike ku-provide security kwenye familia na mwanamke awajibike mambo yote ya nyumbani kama usafi, jikoni n.k yapo sawa hapo haimaanishi ya kwamba mimi ni mnyanyasaji wa wanawake sasa wewe ukianza kutetea huo usawa unaoutaka mtu anaweza fikiri hao wapenzi wetu huwa tunawacharaza bakora kama ng'ombe
Usinilishe maneno mimi hakuna mahali nimesema kwamba mfumo dume ni mwanaume kumcharaza mwanamke bakora hayo umesema wewe, kile kitendo tu cha kumtaka binadamu mwenzio mwenye utashi kama wewe awe chini yako akutii na akubaliane na kila unachomuambia (for the rest of her life) hata kama hakimfurahishi, yani ni kama mmewashikia akili wanawake kwamba wawaze vile mnavyotaka na ninyi ndio muwaamulie kipi kinachowapa furaha na kipi kinachowapa huzuni hiyo siyo haki
 
Sijakuelewa mwanaume amekuwa amemtawala mwanamke kivipi?
Kwaiyo mwanamke yupo kwenye vita ya kufanya mapinduzi kumtawala mwanaume?
Unataka mwanamke apewe Nini au apate Nini ndo ujue huu Sasa ndo usawa
Hakuna cha mapinduzi hapo msilazimishe propaganda zenu ili huo mfumo uonekane mbaya, huo mfumo lengo lake kila mtu ajitawale mwenyewe na siyo mtu yeyote kumtawala mwenzake, sasa nyie mna lazimisha kuwatawala wanawake na kudai eti sasa hivi wanataka wawatawale nyie
 
Kama muda unaruhusu" si unaona sasa, kwani wanawake wanaotafuta pesa kama ninyi muda wa kufanya kazi za nyumbani wanaupata wapi, ambao ninyi mnaukosa na hadi muupate ndio mzifanye hizo kazi
Siwezi nikamlazimisha mke wangu afanye kazi za nyumbani hapo hapo atoke kutafuta riziki maana najua hatoweza kujigawa hata katika hali ya kawaida kabisa hakuna mwanaume timamu atafanya ivyo yaani mwanamke apike hapo hapo awe ofisini iyo haiwezekani labda labda uyo mume awe kichaa
hata mkipata mtoto mnakuwa mnapokezana kumlea mfano wiki hii anakuwa kwa mama wiki ijayo kwa baba na maisha yanaendelea, yani mnavyoongeleaga
Hapa inategemea na umri wa mtoto kama bado ananyonya lazima awe kwa mama muda wote vile vile sheria inasema mtoto akae na mama mpaka atakapofikisha miaka 7 ndipo anaweza kwenda kwa baba vinginevyo mama awe na matatizo au mienendo mibaya kwa malezi ya mtoto. Ila katika hilinwanawake huwa wanang'ang'ania kukaa na mtoto hili wapate hela ya malezi(pesa ambayo kwa asilimia kubwa inaishia kwenye matumizi yao wao wenyewe hao wanawake)
kile kitendo tu cha kumtaka binadamu mwenzio mwenye utashi kama wewe awe chini yako akutii na akubaliane na kila unachomuambia (for the rest of her life) hata kama hakimfurahishi, yani ni kama mmewashikia akili wanawake kwamba wawaze vile mnavyotaka na ninyi ndio muwaamulie kipi kinachowapa furaha na kipi kinachowapa huzuni hiyo siyo haki
Kuhusu ilo hata mimi nalipinga pia. Mwanaume kuwa kiongozi ndani ya nyumba haimaanishi ya kwamba hautakiwi kumsikiliza mkeo wala kutojali furaha yake. Ndani ya nyumba mwanaume anatakiwa kuwa kiongozi sio mnyanyasaji.
 
Tunaona matendo yao. Shusho aliolewa akiwa kapuku baada ya kupata mafanikio ya kimuziki tunaona jinsi anavyomdhalilisha mumewe. Bado haujanitajia wanaume public figure wanaopigania mfumo dume ushike hatamu

Umesema mitandaoni hauja single out jf, mitandao ya kijamii ipo mingi sana.
Shusho amemdhalilishaje mumewe hebu elezea ni kauli gani hiyo aliyoitoa ya kumdhalilisha mumewe, japo wewe umenitajia hao maarufu Tanzania tu ambao hawana impact yoyote duniani, mimi nakutajia watu maarufu duniani wanaotetea mfumo dume, Andrew Tate, The Weekend, Mel Gibson, Bill Cosby kwa uchache tu bila shaka unawajua au kuwasikia hawa
Siwezi nikamlazimisha mke wangu afanye kazi za nyumbani hapo hapo atoke kutafuta riziki maana najua hatoweza kujigawa hata katika hali ya kawaida kabisa hakuna mwanaume timamu atafanya ivyo yaani mwanamke apike hapo hapo awe ofisini iyo haiwezekani labda labda uyo mume awe kichaa

Hapa inategemea na umri wa mtoto kama bado ananyonya lazima awe kwa mama muda wote vile vile sheria inasema mtoto akae na mama mpaka atakapofikisha miaka 7 ndipo anaweza kwenda kwa baba vinginevyo mama awe na matatizo au mienendo mibaya kwa malezi ya mtoto. Ila katika hilinwanawake huwa wanang'ang'ania kukaa na mtoto hili wapate hela ya malezi(pesa ambayo kwa asilimia kubwa inaishia kwenye matumizi yao wao wenyewe hao wanawake)

Kuhusu ilo hata mimi nalipinga pia. Mwanaume kuwa kiongozi ndani ya nyumba haimaanishi ya kwamba hautakiwi kumsikiliza mkeo wala kutojali furaha yake. Ndani ya nyumba mwanaume anatakiwa kuwa kiongozi sio mnyanyasaji.
Sasa kama wewe una mitazamo hiyo tunaposhindwaga kuelewana ni wapi, hata hivyo usijisemee wewe tu wanaume wenye mitazamo kama hiyo ni wachache ila wengi hawataki hivyo, wengi wanataka wanawake wawe chini yao kwa maana ya kuwatii na kuwaheshimu hata pale wanapofanya maovu na maamuzi ya kiubinafsi
 
embu ongea kwa uzoefu wako wewe katika mahusiano uliyopitia au makuzi yako jinsi baba na mama ako walivyokua wanaishi ni utemi gani ambao boyfriend/baba ako alikua anaufanya kuhalalisha maovu yake
Shusho amemdhalilishaje mumewe hebu elezea ni kauli gani hiyo aliyoitoa ya kumdhalilisha mumewe, japo wewe umenitajia hao maarufu Tanzania tu ambao hawana impact yoyote duniani, mimi nakutajia watu maarufu duniani wanaotetea mfumo dume, Andrew Tate, The Weekend, Mel Gibson, Bill Cosby kwa uchache tu bila shaka unawajua au kuwasikia hawa
Unakosea kuwatolea mfano hao wakina mel gibson kwa sababu mifumo yao ya malezi na uchumi uko kwao ni tofauti sana na hapa kwetu. Kuna comment yangu mwanzoni kabisa mwa hii topic nilisema kwamba tulikosea kuipokea sera ya 50/50 tulitakiwa kuachana nayo au kuifanyia maboresho ieandane na mifumo yetu ya kijamii na kiuchumi na sio kutaka kuisimika ivyo ivyo kama ambavyo ipo uko ilipotoka. Nikipoomba mifano nilitaka wanaume wanaotoka kwenye jamii yetu sisi wenyewe
 
embu ongea kwa uzoefu wako wewe katika mahusiano uliyopitia au makuzi yako jinsi baba na mama ako walivyokua wanaishi ni utemi gani ambao boyfriend/baba ako alikua anaufanya kuhalalisha maovu yake
Hapa sidhani kama mahusiano ya wazazi wangu yanahusika bila kujali ndoa yao ilikuwa nzuri au mbaya, hizo ni personal issues ndio maana hata mimi sijakuuliza wewe masuala ya wazazi wako na wala sitaki kujua, sababu si kila mtu mitazamo yake inakuwa influenced na mahusiano ya wazazi wake so usipende kukariri hilo
Unakosea kuwatolea mfano hao wakina mel gibson kwa sababu mifumo yao ya malezi na uchumi uko kwao ni tofauti sana na hapa kwetu. Kuna comment yangu mwanzoni kabisa mwa hii topic nilisema kwamba tulikosea kuipokea sera ya 50/50 tulitakiwa kuachana nayo au kuifanyia maboresho ieandane na mifumo yetu ya kijamii na kiuchumi na sio kutaka kuisimika ivyo ivyo kama ambavyo ipo uko ilipotoka. Nikipoomba mifano nilitaka wanaume wanaotoka kwenye jamii yetu sisi wenyewe
Sasa unaposema mifumo ya malezi ya huko kwao ni tofauti na yetu una refer vizazi gani, na kama tungekuwa na mifumo tofauti toka zamani kwanini walianzisha feminism in the first place nasi tukaipokea toka kwao kama ilivyo, kwenye jamii yetu nimekuambia tazama humu jf namna wanaume wengi wanavyotetea mfumo dume ukanikatalia au hawa wa humu siyo wa jamii yetu pita na huko kwenye mitandao mingine utawaona
 
Hapa sidhani kama mahusiano ya wazazi wangu yanahusika bila kujali ndoa yao ilikuwa nzuri au mbaya, hizo ni personal issues ndio maana hata mimi sijakuuliza wewe masuala ya wazazi wako na wala sitaki kujua, sababu si kila mtu mitazamo yake inakuwa influenced na mahusiano ya wazazi wake so usipende kukariri hilo
Nilitaka kujua tu objective experience yako lakini kama haupo tayari kuweka wazi nimekuelea ilo ni suala binafsi
Sasa unaposema mifumo ya malezi ya huko kwao ni tofauti na yetu una refer vizazi gani, na kama tungekuwa na mifumo tofauti toka zamani kwanini walianzisha feminism in the first place nasi tukaipokea toka kwao kama ilivyo, kwenye jamii yetu nimekuambia tazama humu jf namna wanaume wengi wanavyotetea mfumo dume ukanikatalia au hawa wa humu siyo wa jamii yetu pita na huko kwenye mitandao mingine utawaona
Mifumo ya maisha inatofautiana jamii na jamii, ukifatilia historia utaona mifumo ambayo inaanzishwa uko ulaya baada ya muda mrefu sana ndio inakuja huku Afrika bahati mbaya sana tunaipokea bila kuitafakari kwa undani kama ina faida kwetu au hasara mfano dini zilianzia kwao ndio zikaletwa kwetu tukazipokea, sera ya uzazi wa mpango ilianzia kwao ikaletwa kwetu tukaipokea, hata hii sera ya 50/50 ilianzia kwako tukaipokea sasa hii mifumo huwa tunaipokea wakati hatujaifanyia maandalizi ya kuisimika kwenye jamii yetu ndio maana huwa inatuletea matatizo. Tukiiangalia 50/50 kwa kule ulaya na marekani ambapo imetoka tayari mabinti wameshakuzwa wakifundishwa kujitegemea kwaiyo wanajua kabisa wao wenyewe wana jukumu la kujihudumia sasa hapa hawezi kumbebesha boyfriend/mume wake ilo jukumu kama anaishi mwenyewe atajihudumia mwemyewe kama wanaishi pamoja atachangia costs za nyumbani hii ni tofauti na mabinti wa jamii yetu ambao tangu utotoni wamefundishwa mwanaume ndie anatakiwa ku-provide huduma zote ndani ya nyumba au kwenye mahusiano sasa huyu binti hata awe na kipato ataona pesa yake ni ya kwake peke ake masuala ya nyumbani anaewajibika ni mwanaume tu. Ivyo ivyo upande wa mwanaume tangu utotoni tumelelewa kwa kufundishwa sisi ndio viongozi ndani ya nyumba sasa pale tunapooa halafu utuambie tugawane madaraka 50/50 na mwanamke ndani ya nyumba kwa kweli inakua ngumu kukuelewa ndio maana nikasema sio sahihi kutolea mifano watu wa uko ulaya na marekani kwa sababu tunatofautiana kimalezi na kiuchumi
kwenye jamii yetu nimekuambia tazama humu jf namna wanaume wengi wanavyotetea mfumo dume ukanikatalia au hawa wa humu siyo wa jamii yetu pita na huko kwenye mitandao mingine utawaona
Kutolea mifano jf ni ngumu sana kuhakisi uhalisia ndugu yangu humu id zenyewe za vificho haujui huyu ni mwanamke au mwanaume, kuna watu wanajifanya wanaume wengine wanajifanya wanawake ili kuchangamsha genge tu wewe mwenyewe hapa mimi sijui kama najidiliana na mwanamke au mwanaume ndio mana nikaomba mifano ya wanaume public figure ambao profile zao kwenye mitandao husika zinajulikana.
 
Nilitaka kujua tu objective experience yako lakini kama haupo tayari kuweka wazi nimekuelea ilo ni suala binafsi

Mifumo ya maisha inatofautiana jamii na jamii, ukifatilia historia utaona mifumo ambayo inaanzishwa uko ulaya baada ya muda mrefu sana ndio inakuja huku Afrika bahati mbaya sana tunaipokea bila kuitafakari kwa undani kama ina faida kwetu au hasara mfano dini zilianzia kwao ndio zikaletwa kwetu tukazipokea, sera ya uzazi wa mpango ilianzia kwao ikaletwa kwetu tukaipokea, hata hii sera ya 50/50 ilianzia kwako tukaipokea sasa hii mifumo huwa tunaipokea wakati hatujaifanyia maandalizi ya kuisimika kwenye jamii yetu ndio maana huwa inatuletea matatizo. Tukiiangalia 50/50 kwa kule ulaya na marekani ambapo imetoka tayari mabinti wameshakuzwa wakifundishwa kujitegemea kwaiyo wanajua kabisa wao wenyewe wana jukumu la kujihudumia sasa hapa hawezi kumbebesha boyfriend/mume wake ilo jukumu kama anaishi mwenyewe atajihudumia mwemyewe kama wanaishi pamoja atachangia costs za nyumbani hii ni tofauti na mabinti wa jamii yetu ambao tangu utotoni wamefundishwa mwanaume ndie anatakiwa ku-provide huduma zote ndani ya nyumba au kwenye mahusiano sasa huyu binti hata awe na kipato ataona pesa yake ni ya kwake peke ake masuala ya nyumbani anaewajibika ni mwanaume tu. Ivyo ivyo upande wa mwanaume tangu utotoni tumelelewa kwa kufundishwa sisi ndio viongozi ndani ya nyumba sasa pale tunapooa halafu utuambie tugawane madaraka 50/50 na mwanamke ndani ya nyumba kwa kweli inakua ngumu kukuelewa ndio maana nikasema sio sahihi kutolea mifano watu wa uko ulaya na marekani kwa sababu tunatofautiana kimalezi na kiuchumi
Mkuu mbona unaandika kama vile mfumo dume ulikuwa huku kwenye jamii za kiafrika tu hivi unafikiri huko kwa wazungu ndio hakukuwa na mfumo dume, hiyo 50/50 hata huko ilikoanzia haikuibuka tu ghafla bali na yenyewe ilianzishwa kwa lengo la kupambana na mfumo dume kwahiyo mfumo dume ni mfumo universal, sasa unaposema habari za malezi sijui nini ukae ukijua hata hayo malezi ya wazungu waliyaadapt baada ya mfumo wa 50/50 kuanzishwa sasa huku afrika ni kipi hasa kinachofanya wanaume washindwe kuadapt huo mfumo na hayo malezi kama huko
Kutolea mifano jf ni ngumu sana kuhakisi uhalisia ndugu yangu humu id zenyewe za vificho haujui huyu ni mwanamke au mwanaume, kuna watu wanajifanya wanaume wengine wanajifanya wanawake ili kuchangamsha genge tu wewe mwenyewe hapa mimi sijui kama najidiliana na mwanamke au mwanaume ndio mana nikaomba mifano ya wanaume public figure ambao profile zao kwenye mitandao husika zinajulikana.
Na ndio maana nikakuambia pita na kwenye mitandao mingine huko twitter, instagram, et al utawaona wako wengi, hilo la kusema kwamba humu jf huwezi jua jinsia ya mtu sidhani kama ni utetezi sahihi labda kama wewe ni mgeni humu jf, na hata hivyo sidhani kama kuna mwanamke humu jf anayeweza kutetea mfumo dume katika namna ambayo wanaume wengi wa humu wanafanya sijui hata kama unanielewa hapo
 
Mkuu mbona unaandika kama vile mfumo dume ulikuwa huku kwenye jamii za kiafrika tu hivi unafikiri huko kwa wazungu ndio hakukuwa na mfumo dume, hiyo 50/50 hata huko ilikoanzia haikuibuka tu ghafla bali na yenyewe ilianzishwa kwa lengo la kupambana na mfumo dume kwahiyo mfumo dume ni mfumo universal, sasa unaposema habari za malezi sijui nini ukae ukijua hata hayo malezi ya wazungu waliyaadapt baada ya mfumo wa 50/50 kuanzishwa sasa huku afrika ni kipi hasa kinachofanya wanaume washindwe kuadapt huo mfumo na hayo malezi kama huko

Na ndio maana nikakuambia pita na kwenye mitandao mingine huko twitter, instagram, et al utawaona wako wengi, hilo la kusema kwamba humu jf huwezi jua jinsia ya mtu sidhani kama ni utetezi sahihi labda kama wewe ni mgeni humu jf, na hata hivyo sidhani kama kuna mwanamke humu jf anayeweza kutetea mfumo dume katika namna ambayo wanaume wengi wa humu wanafanya sijui hata kama unanielewa hapo
Umenielewa nimekuelewa tukubali kutokukubaliana. I rest my case
 
Back
Top Bottom