Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Ile kijeshi ni fatiki tena ilitakiwa ile mikono ya kombati asiikunje yaani aikunjue ila kwa kuwa ameikunja kijeshi kuwa kuna amani mahali hapa.
 
Ni kweli maana gwanda hutisha wabadhirifu, wahalifu na mafisadi. Hao watanzania unaotaja ni kina nani? Maana unajumuisha wote kuwa wanatishika, kweli? Acheni uhuni jamaa kawakamata. Nyerere mwenyewe unayemnukuu kavaa magwanda sana.
Acha uongo wewe! Nyerere alikuwa anavaa hovyo hovyo kama huyu? JK alikuwa ni Kanali wa Jeshi, lakini ulimbukeni huu hakuwa nao!
 
Akivaa nyeupe zile trafic kama asipovaa kofia yake kwa ufupi wake ataonekana kama mhudumu wa ..
..kitengo kama cha mshana jr
 
Comment yako imenifanya nifikirie nje ya box. At first, sikuona kama ni big dea maana kama Amiri Jeshi Mkuu he can dress anyhow until I saw this Civilian Leadership of the Military

Kiukweli as you said, JPM ana kaushamba flani. Anafanya kila kitu in extremities Kiranga,
 
"I wish I could be IGP"

JK hata ile title yake ya kijeshi hakupenda kabisa kuitumia/itumike kama wengine wanavyotumia.

Bado natafakari kauli ya Mzee Kinana (iliyovuja/vujishwa miezi kadhaa iliyopita) kuhusu Rais tuliyenae.
 

Anaruhusiwa kuvaa hata kibwaya bila chupi akitaka.

Ila, kama rais, muonekano wake utakuwaje?

Shukurani kwa kuelewa hili.
 
Nyani Ngabu,
Haifai kabisa, rais kuvaa migwanda ya jeshi afu eti anaenda kusikiliza wananchi, binafsi naona kitu cha ajabu na kutisha wansnchi.

Angalieni wanavyomwambia matatizo yao kila mmoja ana uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…