Magufuli hata ununuzi wa korosho anapeleka jeshi.Angekuwa yuko Monduli, Ngerengere huko, au kule Kunduchi, ningeelewa.
Ila hapo alipo? WTF!’
Ushambà na ulimbukeniNi kweli maana gwanda hutisha wabadhirifu, wahalifu na mafisadi. Hao watanzania unaotaja ni kina nani? Maana unajumuisha wote kuwa wanatishika, kweli? Acheni uhuni jamaa kawakamata. Nyerere mwenyewe unayemnukuu kavaa magwanda sana.
Mmh mimi.nawaza hayo magwanda na hili jibuView attachment 1267949
Ukipiga hayo madebe yakiisha utapiga nini?
Sio jambo la kushangaza. Wakati.nasoma chuo alikuwa anatoka na binti mmoja hadi akamzalisha mtoto. Hebu ni kae kimyaHaha aisee huyu mzee sijui kwanini anahusudu ngono na udhalilishaji kiasi hichi lazima huwa achomekee mambo haya
Yeah iyo nayo aliitoa. Je kuhusu mahindi uliskia jibu? Redio one nao wakaliandika kama alivyotoaJana kamwambia mpiga debe pale Msamvu "Ukipiga hayo madebe yakiisha utapiga nini?"
Hakuna jeshi la TANAPA
Sio kama amewahi kuua! Ni muuaji kweli!Nadhani ni mm tu na macho yangu..akivaa gwanda eti namuonaga km amewahi kuua kbs kwa mkono wake !sura inakuwa ya kiuuaji kbs yan!bora avae tu suti jamani!
Ha ha haNadhani ni mm tu na macho yangu..akivaa gwanda eti namuonaga km amewahi kuua kbs kwa mkono wake !sura inakuwa ya kiuuaji kbs yan!bora avae tu suti jamani!
Kwamba, Daktari ambaye kwa miaka minne mshahara wake haujapanda kulingana na kupanda kwa bei ya bidhaa akiona mahindi yanapanda bei akalime yake. Yaani aache udaktari akalime mahindi. Hivyo hivyo mwalimu, mwanajeshi, karani nk wafanye hivyo.
Hata Yesu watu wanamsubiri bado.
Subiri tu.
Huyo mtu hashauriki......Aisee... sasa ni kwamba wanaoyajua haya na wako karibu na mtu huyu unadhani huwa hawamshauri au hashauriki?
Hata Singida alikuwa anakajaga bar maid mmoja Hotel iko karibu na magereza hadi akamzalisha.Sio jambo la kushangaza. Wakati.nasoma chuo alikuwa anatoka na binti mmoja hadi akamzalisha mtoto. Hebu ni kae kimya
Wakati mwingine watu ni kama hua mnakosa kazi tu ya kufanya na kupoteza muda,yamkini wewe ni fisadi unaogopa, Rais kuvaa gwanda shida iko wapi,sisi tunajua ni Rais wetu huyu huyu wala hakuna shida yoyote,kweni nguo zina nini? mkija humu na kuanza kusema sema serikali mnajikuta mnapata zile comment nyingi za wasioelewa na mnaona ni kama sifa,miki hapa ni mwananchi hulu kama wanachi wengine na sioni shida ya Rais kuvaa gwanda
Yule shost wangu yeye alibahatikapo zile nyumba za serikali. Mzee baba yuko fiti si mchezoHata Singida alikuwa anakajaga bar maid mmoja Hotel iko karibu na magereza hadi akamzalisha.
Baada ya kuingia utukufuni yule binti alikuja kuchukuliwa haijulikani alipelekwa wapi. Labda kaukata kapewa capital!
Haufi kalimeAisee
Twafwaa