Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

kwa mwenye kujua anijuze
kozi miezi mingap.
kwa watakao chaguliwa njia gan hutumika kuwapa taarifa
 
Kwani Bado wanatuma maombi wazee naomba mnijuze Kuna dogo yapo kijiji nimpe hii habari
 
Nimetoka leo, nyomi la watu kama chuoni vile na wanapokea barua zote [emoji2] hii kweli imeenda, danganya toto
Sasa mwanangu kwa sisi tuliotuma toka mkoani, nani atazipokea barua zetu vipi? na hatukipita jkt?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…