Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kama huna mbanga maji marefu hii ngoma ya mwaka huu sahau kabsa naskia ngoma ngumu kwelikweli, kuna dogo yuko mlale ananiambia wamechukuliwa watu11 tu na hao wote ni wamaelekezo pia naona kambi zingne idadi ya waliochukuliwa ni kama iyo sasa sijui itakuaje.
 
Ngoma Bado ngumu, labda akusimamie mbanga MKUU mwenyewe "mcdf" , wapo mibanga maji marefu wengi wameshindwa kupenyeza watu.
 
Haukunielewa kiongoz, sijasema form 6 ambao sio fresh from school wanapga koz ya BMS , Hawa hupga koz inaitwa regular pamoja na wataalam kulingana na mahitaji ya makao makuu
 
Nikikumbuka shule ya serikali niliyosoma miaka hiyo Advance na O-level ni lazima mpigishwe kwata na kisha gwaride lije likaguliwe na maafisa fulani wa jeshi ndio mkaribishwe rasmi shuleni. Dah! sipati picha mtu ndio maisha yake ya kazi mpaka astaafu. Best wishes makamanda watarajiwa
 
Haukunielewa kiongoz, sijasema form 6 ambao sio fresh from school wanapga koz ya BMS , Hawa hupga koz inaitwa regular pamoja na wataalam kulingana na mahitaji ya makao makuu
Regular haipigwi na 4m 6....hiyo regular ni kozi ya mwaka 1 na inapigwa na watu wenye elimu ya juu mzee.
 
Regular haipigwi na 4m 6....hiyo regular ni kozi ya mwaka 1 na inapigwa na watu wenye elimu ya juu mzee.
Fuatilia kamishen zote YouTube Mzee mkuu wa chuo anapotoa risala fupi ya mafunzo huaga anaspecifie makundi ya kitaaluma waliyonayo maafisa wanafunzi kama ukikoswa form six utaniambia .Tena Hadi diploma wamo
 
4m 6 hao wanakuwa wamepiga miaka mitatu tayari ila amna 4m 6 anayepiga regular ya mwaka mmoja na kuwa Afisa hayo mambo yalikuwaga zamani na sio sahv.
 
4m 6 hao wanakuwa wamepiga miaka mitatu tayari ila amna 4m 6 anayepiga regular ya mwaka mmoja na kuwa Afisa hayo mambo yalikuwaga zamani na sio sahv.
Wapo wenye Elimu ya Form 6 wanafanya kozi ya Regular na sio BMS. na ni wenye maelekezo makali nyie mnaita MibangaπŸ˜‚πŸ˜‚. Wapo Form 6 na Diploma.
 
Wapo wenye Elimu ya Form 6 wanafanya kozi ya Regular na sio BMS. na ni wenye maelekezo makali nyie mnaita MibangaπŸ˜‚πŸ˜‚. Wapo Form 6 na Diploma.
Afadhali mwanangu umenitetea la sivyo ningeonekana nadanganya. Hata mwaka 2023 kamishen zilitolewa Kwa wenye fani degree lakini na form6 walikuwepo 83 wa koz ya regular half military science walikua kama 72 . Kamishen jumla ilikua na ofisa wanafunzi 740
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…