Simu inapigwa kutoka msata au makao?Nyepesi zinasema mtaani hawazidi 300 tu, hizi nimepata kutoka msata Kuna blood angu yupo kamati ya usaili ila ndo Ivo Tena Hana power ya Kua mbanga ni mtu wa chino sana
Nimekuelewa blood , hata mm nimeambiwa hawatozid 300 na wataanzia makutupora usaili wa vyet then wataopita watasepa msata.... Nililopoea leo asubh.... Nimepokea simu kwa mbanga yangu.... Kanichana kuwa simu zitaita kwa wenye fani hadimu... Na wale ambao walifany usaili... Mwezi watatu... Ila ili kuniingiza kweny mfumo..kaniambia kuwa ivi karibuni.. Kutakua na bogi lingine litaitwa mwezi wa saba au wanane na litakua la orjolo......
Ila... Kwa ukomavu wangu wa akili ambao nipi nao....nimeelewa ngoma ngumu kwa uoande wake na Ngoma imeshaisha vijana tujipange wakati mwingine asanteni...... 😭😭
Nilishasema Toka mwanzo labda update connection ya mbanga mkuu, Ila hata maji marefu mwaka huu hawapewi jibu la uhakika so nao wanapata lonja tuh kama sisiNgoma Bado ngumu, labda akusimamie mbanga MKUU mwenyewe "mcdf" , wapo mibanga maji marefu wengi wameshindwa kupenyeza watu.
Nimekuelewa blood , hata mm nimeambiwa hawatozid 300 na wataanzia makutupora usaili wa vyet then wataopita watasepa msat
Ivyooo yaniiii.... Ni kujipanga wakat mwingine na mbanga maji marefuuuuu.... Ila kuna karooh bado kapo cha kupambania kombee
Huuu mwaka tutajua tu mbaka upindukee ten kama mwak janMwaka wa kuforce
mbanga nzur ni kuanzia cheo gan?Ivyooo yaniiii.... Ni kujipanga wakat mwingine na mbanga maji marefuuuuu.... Ila kuna karooh bado kapo cha kupambania kombee
ko mbanga wako akiwa mkuu wa kikosi makutopora kupenya uwakikaNimekuelewa blood , hata mm nimeambiwa hawatozid 300 na wataanzia makutupora usaili wa vyet then wataopita watasepa msata
Niasilimia chache sana labla uwe ndan ya kambi ila kama upi njee ya kambi ni ngumuko mbanga wako akiwa mkuu wa kikosi makutopora kupenya uwakikani
Mim nililopata kuwa kuna bog la piliiii.....Ngoma Bado ngumu,tunaskia makambini wameachwa watu wengi kambi nyingi ukiulizia wamebebwa chini ya 20 na mtaani inasemekana watachukuliwa wachache saana chini ya 300, so hii intake huenda wanachukua watu 500 Nini? Mwenye kujua atujuze
Kuna mdau humu alikataa yeye anasema bogi ni moja tu koz rts kihangaiko facility zote zimetimia so wakiitwa wa mwanzo hamna bogi lingine Hadi intake inayofuataMim nililopata kuwa kuna bog la piliiii.....
Msata Kwa Sasa idadi inasoma karibia buku mbili. Ila mtaani ndo naskia 300Ngoma Bado ngumu,tunaskia makambini wameachwa watu wengi kambi nyingi ukiulizia wamebebwa chini ya 20 na mtaani inasemekana watachukuliwa wachache saana chini ya 300, so hii intake huenda wanachukua watu 500 Nini? Mwenye kujua atujuze
Game unaelekea dakika 90 na ubao unasoma 3-0
Kuna yeyote alie kwisha pigiwKweli ngoma ni 3-0 za ndani kabisa na za uhakika simu zinaanza kuita leo