Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Sio uongo , Mimi mwenyew nilikuwa mwaka wa kwanza MUST mbeya , walikuja watu wakaandika majina na fani zao , baadae mwez wa 1 2022 watu wakaanza pigiwa simu ,na Kuna mwanangu saiv ni afisa alisoma civil eng must alichukuliwa
Kumbe jwtz wanamifumo .. Ya kuchukua watu
 
Nimeelewa wakuuuh..... Basi awa watu hawana formal maalum
Yah mzee maana wakisema wanahitaji mtu wa fani maybe ya General surgeon au Electronics Engineering kwa haraka...4m 6 hana fani yoyote mpaka apelekwe akasome tena then itachukua mda wakat kuna watu wapo tayari wana hizo fani.
 
Apo ndo swala la education linatake place
 
Yah mzee maana wakisema wanahitaji mtu wa fani maybe ya General surgeon au Electronics Engineering kwa haraka...4m 6 hana fani yoyote mpaka apelekwe akasome tena then itachukua mda wakat kuna watu wapo tayari wana hizo fani.
hao kozi zao zinakua miez mingap wakipatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…