Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hahahah kwahyo humu hamna aliepigiwa ila mnasikia kwa watu tu kua wanapigiwa, kweli kazi ipoo🙇‍♂️
 
Angalizo JWTZ kama haupo kikosini, Huna Hizo Fani za kipaumbele, na Huna Mbaga nayenyewe iwe Top haswa usijisumbue kabisa utakuwa unasikia vijana 3000 wamemaliza mafunzo MSATa sijui vijana 2500 wamemaliza Oljoro
Wewe stick PT, MT, ZT na UT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…