Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ndani upinzani.... Mkubwa watu wanashindwa ata kuingiza ndug zao wa karibu
 
Tumeambiwa watu wenye fani adimu wataenda TMA wengine kihangaiko Ila upite kwanza kwenye usaili hayo ndo ya muhimu mengine ni kuhusu vyeti na maushauri tu

Hiyo kutok 834kj
 

Attachments

  • Screenshot_20250606_122108.jpg
    98.3 KB · Views: 45
Nakumbuka 2022 humu tulikuwa wengi sana tukijipa imani na majeshi leo 2025 umri ushasogea na vigezo vimeshapungua, at the end i came and realised that hope is our first enemy, nakushaurini msiweke matumaini sana kwenye hili game, pambania kile kinachowezekana siku zisogee.

Kingine huu uzi kuna maafisa vipenyo wengi sana + matapeli wanatumia hii loophole kuweka mitego yao.
 
Tumeambiwa watu wenye fani adimu wataenda TMA wengine kihangaiko Ila upite kwanza kwenye usaili hayo ndo ya muhimu mengine ni kuhusu vyeti na maushauri tu

Hiyo kutok 834kj
duuuh kunakutoboa kwl
 
Ukweli mchungu kama sio familia za kijeshi sahau kuingia jeshini na wanafanya Ivo kuondoa uhasi apo badae.......
Awachukui watu ovyo kila la kheri wapambanaji.....
Acha siasa kijana kwahyo hao wakujitolea wote wanakuaga Familia za kijeshi au😅😅....yani k2 kama hakijawa ridhiki yako basi lazima kiwe kigumu ila siku ikifikia Ata iweje lazima uzame chombon.
 
Wewe umepita oljoro jkt ila usiseme unalijua jeshi acha maneno mengi kaa tulia kijana.
 
Raia... Bado wanaripot 834 kj wakutoshaa sanaa... Na bado usaili unaendelea ko wapambanaji... Wenye mimbang kuen na subra🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…