Mr amphoteric
Member
- Jun 1, 2023
- 67
- 16
Pich linaanz source tu ya hiz taarifa ni mthian ...wazee tuach utan tuamke hii nchi inaitaji reform ya hali ya juu mifumo imekaa kimkakat san usipoangalia had wajukuu zak watakuja kukutukan na kukuon mzembe kumbe kuna watu wanajilish wao na vizaz vyao bil kuangali maslai ya kila mmoja wetNdio imeisha ivo
Ukiwa na mbangaa tuu umeingiaa kwenye mfumo....sema ndo hivyo wana wengi tume lack hio kituuPich linaanz source tu ya hiz taarifa ni mthian ...wazee tuach utan tuamke hii nchi inaitaji reform ya hali ya juu mifumo imekaa kimkakat san usipoangalia had wajukuu zak watakuja kukutukan na kukuon mzembe kumbe kuna watu wanajilish wao na vizaz vyao bil kuangali maslai ya kila mmoja wet
Tenaqa... Sio mbanga iwe ya kuelewekaaaUkiwa na mbangaa tuu umeingiaa kwenye mfumo....sema ndo hivyo wana wengi tume lack hio kituu
Kuwa makini ndugu angu, unaweza ukawa kwenye mkumbo wa utapeli. Maana kipind kama iki matapeli awachezi mbaliJamank naomba kuuliza mfano kwenye usaili wa polisi umemaliza alafu ukaja kuwachwa kwenye pdf ya kwenda moshi ila ukapigiwa simu mtu akajitambulisha yeye ni wamakao makuu alafu na anakwambia uripoti tarehe kumi na mbili moshi na namba ulopigia nihizi za kawaida nakmba usaidizi
Nenda kareport ila usitoe pesa hata miaJamank naomba kuuliza mfano kwenye usaili wa polisi umemaliza alafu ukaja kuwachwa kwenye pdf ya kwenda moshi ila ukapigiwa simu mtu akajitambulisha yeye ni wamakao makuu alafu na anakwambia uripoti tarehe kumi na mbili moshi na namba ulopigia nihizi za kawaida nakmba usaidizi
Eeeh mzee mbuyuu wa kuelewekaa unaingia chap sanaTenaqa... Sio mbanga iwe ya kuelewekaaa
Oyaaaa🤣🤣🤣😂😂😂Ila kwenye hii mechi wakuuu tumepoteza naon mbak sasa jw 1_ watafutaji 0 na game inaenda dakik ya 85😭
AsanteNenda kareport ila usitoe pesa hata mia
AsanteKuwa makini ndugu angu, unaweza ukawa kwenye mkumbo wa utapeli. Maana kipind kama iki matapeli awachezi mbali
Baada ya hii Komenti uzi ufungwe asietaka kuelewa atulie tu!! Huko 60_80% huwa maelekezo 40%_20% ndio Fungulia mbwaKuna mzee mmoja mtaani alikuwa ni mshauri wa mgambo vijana wake wote zaidi ya wanne ni wanajeshi. Binti yake kamaliza Md now yuko Jkt.
Ana mtoto wake mwingine kwa mkee mdogo nadhani kama sikosei 2019 au 2020 alienda jkt kwa mujibu akabaki huko huko baada ya muda kupita tukaja kumshuhudia anaapishwa dodoma na mama samia kama afisa.
Tanzania yetu imejaa kujuana kama mzee wako hakutengeneza connection ni ngumu sana kutoboa kwenye hivi vyombo.Unajikuta unatuma maombi kila mwaka hadi unajikuta 30 yrs hii hapa
💯💯Baada ya hii Komenti uzi ufungwe asietaka kuelewa atulie tu!! Huko 60_80% huwa maelekezo 40%_20% ndio Fungulia mbwa
Na hili linaapply kwa majeshi yote
Yenyewe si ndo itakupa maelekezoo,,kwanza hapo makutu wanakaribia kumaliza usaili.nnaomba kuuliza ndo mbanga yakoo ikasababisha je simu zitaita au maelekezo moja kwa moja uende makutu
wamefanya vipimo?Yenyewe si ndo itakupa maelekezoo,,kwanza hapo makutu wanakaribia kumaliza usaili.
Mwambie akupe kibali kinachoonyesha kuwa wewe umetoka makao makuu na umeambiwa uende chuoni direct mbali na hapo utatupa nauli yako tu.msaad kwa anae jua kuna mbanga kanipang kuwa kuna nafasi ya kuingia moja kwa moja kutokea makao makuu ila was was unakuj kwa maelez yake ni kuw mm naitajik kwend moj kwa moj chuon ila nikifik niseme nimetok makao makuu hv ii inawezekan ila ajaomba ela hv hilo linawezekan kwel??
asant kkMwambie akupe kibali kinachoonyesha kuwa wewe umetoka makao makuu na umeambiwa uende chuoni direct mbali na hapo utatupa nauli yako tu.