Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kila kitu kinawezekan ni maelekez tu
 
Mwambie akupe kibali kinachoonyesha kuwa wewe umetoka makao makuu na umeambiwa uende chuoni direct mbali na hapo utatupa nauli yako tu.
The captain nilikata tamaaa ndug yangu ila jana nimepokea simu kutoka mahaliii.... Ambay imeludish swala hope
Swal la bogi mbili ni 98% ila halijajulikana lini tu
 
Baba kan tumaa!??
 
The captain nilikata tamaaa ndug yangu ila jana nimepokea simu kutoka mahaliii.... Ambay imeludish swala hope
Swal la bogi mbili ni 98% ila halijajulikana lini tu
Bogi mbili ki viip?? Jingine kihangaiko afu jingine linapigiaa wapii!?
 
The captain nilikata tamaaa ndug yangu ila jana nimepokea simu kutoka mahaliii.... Ambay imeludish swala hope
Swal la bogi mbili ni 98% ila halijajulikana lini tu
Alafu hilo la pili wanachukua wangapi idadi na la kwanza hili idadi yake ni ngapi!?
 
NOTE: zoezi limekamilika msijipe moyo,focus kwenye inshu nyingine.sio lazima tpdf.
 
wakifika msata wataanza kozi au watapima tena
Hapo makutu wamepima kama msata ila majibu ya vipimo bado na pia wa makutu watapelekwa msata na nadhani majibu ya vipimo yatarudi kwa pamoja(makutu + msata) na walio na shida ndo watasomwa UNFIT. Then wanaobaki ndo watapiga kozi.
 
Jamboo lishakua gumu hili.
 
NOTE: zoezi limekamilika msijipe moyo,focus kwenye inshu nyingine.sio lazima tpdf.
Don’t count yourself out before the game starts.

Apply for that job, even if you doubt you’re enough; let them say no, not you.

While others shrink back, scared of rejection, you step up bold. Never shut your own door.

Go for it, fight for your shot, and prove you’re bigger than your doubts.
 
💯💯
 
+255750012824 jaman hiyo namba imenipigia skupokea. Ila nimejaribu kuwapigia inasema sank u for calling back ,we will call you back please hang you call we still processing another call , sijaelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…