Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Maneno machache yenye kutia moyo na kuinua tumaini jipya. Ngoja tuone mkuu
 
Mwambie akupe kibali kinachoonyesha kuwa wewe umetoka makao makuu na umeambiwa uende chuoni direct mbali na hapo utatupa nauli yako tu.
Acha kumdanganya,
Yeye aende kule Kuna list ya watu wote kutoka makao makuu hamna mambo ya kibali,
Hilo ni jeshi sio kiwanda Cha pepsi
 
Hapo makutu wamepima kama msata ila majibu ya vipimo bado na pia wa makutu watapelekwa msata na nadhani majibu ya vipimo yatarudi kwa pamoja(makutu + msata) na walio na shida ndo watasomwa UNFIT. Then wanaobaki ndo watapiga kozi.
Sio kweli
 
Issue ya vimemo police ipo au ndo imetoka hiyo, mwenye lonja kamili aweke hapo
Wabongo ambavyo huwa wanazikandia ajira za upolisi na ualimu, unaweza kusema hakuna tena wananchi wanaotaka kufanya hizo kazi.
 
Ukion uzi.... Umekatika... Jua mamb yamefik mwishooo.... But tusubili tangazo la mwakani✊✊🙏🙏📌📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…