Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wakuu, kuna yeyote mwenye za ndani kama watu bado wanaripoti msata?
 
Ilole.... Where you... Mkuu utupe za mjengoniii....
 
Haya msata bado wanafanya usahili.wa makutopora bado wapo pale wanasubiri majibu kwenda kuungana na WA msata.na msata Kuna vijana Kama 2900
Sawa.... Mkuu
je? Kwa mudaa huu walal salama.. Kun uwezekano wa mtu kupenya?
 
Kama una general Kwa Nini isiwezekane Kama wewe waziri wa ulinzi ni dada Ako why ishindikane?
Sawa.... Mkuu
je? Kwa mudaa huu walal salama.. Kun uwezekano wa mtu kup
 
Jamani nauliza katika mabogi ya polisi kuna bogi la michezo linaluwa lishaondoka au bado lipo
 
Watu... Bado wapo makut... Majib hayajalud.. Ila wanasem jtatu wanaweza somewa majin
Jumatatuu hayasomwi majinaa mzee bali kuna watu waliopigiwa simu last week kwa kuchelewa wanaanza usailii na waoo
 
Jamani nauliza katika mabogi ya polisi kuna bogi la michezo linaluwa lishaondoka au bado lipo
 
Juzi msemaji wa jeshi ametoka front kulalamika kwamba watu wanakuja vijana wa maelekezo kwa force
 
Juzi msemaji wa jeshi ametoka front kulalamika kwamba watu wanakuja vijana wa maelekezo kwa force
Shidaa... Watu ambao maelekez hawana hawatoboi ndo mana watu wameona bora na wao watafute maelekez sasa ndo man wamekua weng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…