Hahah sasa kama lilikua la wenye fani mbona wajumuishe na wa secondary ….sifa ni mbanga tu mzee, ukiwa na mbanga yakueleweka hata iweje msata lazima uende haijalishi ww ni secondary au vipi 😅Sema nasikia hili tangazo lilikua kwa ajili ya wenye fani so wale wa sekondari asee labd wanangu
Ukiangalia ule ukusanyaji wa barua pale ngome kama kweli wewe unaakali utagundua kua zile barua hakuna mtu anaenda kuzisoma ile ni danganya toto tu. 😂😂
Bwana mdogo upoHahah sasa kama lilikua la wenye fani mbona wajumuishe na wa secondary ….sifa ni mbanga tu mzee, ukiwa na mbanga yakueleweka hata iweje msata lazima uende haijalishi ww ni secondary au vipi 😅
Kk tupe lonja wa mtaaniBwana mdogo upo
Nipo mkuuBwana mdogo upo
Ndicho kilichokuwepo, na mwaka huu wengi wanachukuliwa wenye ujuzi wa cybersecurity, ICT, CS, etc.Sema nasikia hili tangazo lilikua kwa ajili ya wenye fani so wale wa sekondari asee labd wanangu
ULionana nao linii!?Duuh mbona kuna madogo nilionana nao wananunua mabegi wakaniambia mkataba ndo umeisha kwahyo ndo wanajiandaa wanarud makwaoo
Mwaka jana tulikua makutupora na mujibu hatukuwapisha walitukuta pale alafu leo ety ndo yaje yakuwapisha mbona mna uongo sanaa nyieee😀😂😂😂Wakubwa! Wazalendo tayari wapo 834 KJ, wanaendelea na usaili wa vyeti.. changamoto kubwa kwao ni leaving certificates.
Kabla ya juni mosi watakuwa Msata kwaajili ya usaili wa afya pamoja na mambo mengine kupisha vijana wa mujibu watakaowasili Makutopola. Anyways zakuambiwa..
Soon unachiwa
Ajira mpya?Soon unachiwa
Shida connection tu kmmkee
Hope wanatangaza soon mkuu tafuta hizo wire za connection..Shida connection tu kmmkee
Ngojaa tutafutee tuu aiseeHope wanatangaza soon mkuu tafuta hizo wire za connection..
Sifa Kimemoo🤲🤲🤲Wajaaaa, kaeni karibu na Cm zenu, kuanzia J3 miito ni mingi kwa cm, muhimu bahati na kimemo kiwe upande wakooo.
Nawatakia kila kherii mtakaofanikiwa kufikiwa na miito hiyo.
Noma sana mkuu kwan mwaka jana uliingiaje Makutupora mkuu?Sifa Kimemoo🤲🤲🤲
KimemoNoma sana mkuu kwan mwaka jana uliingiaje Makutupora mkuu?