Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Sikuhizi sio CCP NI shule Kuu ya Polisi Moshi, huku na CMK angalau kunaeleweka tu na formula yake ipo ila MSATA asieehe naonaga hata kufika kule ni Bahati tu yaan hata mfumo wake huwa haueleweki kabisaa
Jina CCP haliwezi kutokaa hata waedit viip kufupisha mengi sisi tunatambua hilo,,ukianza kumwambia mtu TPS haelewi so CCP remains popular and clear to everyonee
 
Hapo kwenye UNFIT hadi leo watu wangu wakaribu hawajaahi kuheal kabisa JW unatolewa UNFIT hata hujui sababu ni nini haswa afu hao hao wanakomaa PT na MT wanapata nafasi
Ndo iko hivyoo mimi washkaj zangu tuliokua kitengo kimoja pale Jkt tulitemwa usaili wa kwanza JW kisa unfit walivorudi wakasema baka gumu tufosi PT aisee woye walienda tena intake moja....tukabaki sie vichwa ngumu tunaotaka kuingia ety 92KJ 😂😂ndo tunakula ndoige hadi leoo tumetii sasaa
 
Ndioo manake ukianza kuleta dini ambako unakatazwa "USIUE" ila jeshini unafikiri kazi ya Silaha ni ninii kama sio Kuua? Ukiona jambazi hutaua? Ndo maan nasema usilete mambo ya dini jeshinii
Yan kiufupi nilitaka Tu kujua kwenye afya usahili wanaangazia vitu gan, ili tuwe aware na kitachotokea
 
mshamba_hachekwi
 
Upo
Jina CCP haliwezi kutokaa hata waedit viip kufupisha mengi sisi tunatambua hilo,,ukianza kumwambia mtu TPS haelewi so CCP remains popular and clear to everyonee
Upo sahihi na rahisi kutamkika mkuu
 
Ukiona kila kitu umepita afu uko kusubiri kuitwa CCP, mwisho huitwi, ujue nafasi yako kuna mtu ameinunua.

Bila chochote kitu hutoboi hii nchi. Lol
 
Bila kimemo hutoboi hii nchi hasa sekta ya Ulinzi. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCP ukiwa na hela cash, wala usisumbuke kwenda kwa usaili na na nini, wee subiri ule wakati wa watu wakisubiri kuitwa CCP, ndo tafuta zako upenyo toa faranga, mbona chaapu jina liko Mkekani.
Hii mbinu inatumiwa na wajanja sanaa, kunae m1 jana kahitimu hapo mzazi wake alimwaga 3M na chenjiii.


TPDF Ndio pagumu sana,
 
Daaah kwan tpdf unaweza ukawa na mbaga na usitoboe
Mbanga awe anaeleweka na influence ndani ya chombo, vinginevyo utaishia kulaumu watu na kuchukia, TPDF unadhani mchezoo??
 
Hii ya nyaraka kuna mtu kakosa kisa spelling za ubini, ila ubini ni huo huo.
Afu ni mdada, analia lia hadi kesho. Lol
 
Kwahyo wanavyosema wanavua nguo ni Sawa? Au make wengine dini haziruusu
Kuvua nguo mbona hata kwa mujibu huwa wanakaguliwa Linda.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila huu ni udhalilishaji kabisaa. Khaaah
 
Ko wee unataka Kitengee? Hutaki sare ya Sec?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…