RTS shoga hatoboi. Hata kama upite kimaajabu wakati wa kozi lazima uteme bungo. Kozi ikichanganya lazima mambo yawe wazi.. kuna dogo alikuaga na mshono mbanga yake ilikua nzito mbona wali
Asee hii Noma Sana, wewe kwani unajua labda hata kuskia SM zinaita au lini?Sio kukatisha tamaa huo ndio ukweli mdgo wangu kama ukitaka tufarijiane sawa. Now njia pekee ya kupata nafasi ni (Mungu) hakuna kinachoshindikana kwake, bahati, Kama unamganga wako Sumbawanga kaloge sana lkn ivyo vyote ni asilimia 1% mganga pekee wa uhakika ni mbanga tena nzito sana
Ukisoma vizuri hapo nimeeleza mentality tuliyokua nayo wakat tnaingia Jkt...ila tushanyooka mbona sema ndo vile sipati mbanga ya PT tuu ntatia hata 5M nikapige mzgoo huko mmKo wee unataka Kitengee? Hutaki sare ya Sec?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee tia helaa uingie huko PT. ukajitwalie za kiwi, [emoji23][emoji23][emoji23]Ukisoma vizuri hapo nimeeleza mentality tuliyokua nayo wakat tnaingia Jkt...ila tushanyooka mbona sema ndo vile sipati mbanga ya PT tuu ntatia hata 5M nikapige mzgoo huko mm
RTS mchezoo? [emoji23][emoji23][emoji23]RTS shoga hatoboi. Hata kama upite kimaajabu wakati wa kozi lazima uteme bungo. Kozi ikichanganya lazima mambo yawe wazi.. kuna dogo alikuaga na mshono mbanga yake ilikua nzito mbona walimpeleka lugalo wakati wa-kozi
Kule hata uliwa na bawasiri hapakufai maana utauguza vidonda kila siku.RTS mchezoo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mujibu enyewee ile miezi 3 mtu unaacha ndalaa, famchezo ninii.
RTS ukiwa lindaless hata upate conns ya kuingia kule, wanaojua watakusanua kule hakuguswii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Unaanza kuletewa mambo ya unfit za kijinga ambapo CCP hawana hayo mambo mengii
Kwaiyo ukipata connection kule km si mvumilivu mara outKule hata uliwa na bawasiri hapakufai maana utauguza vidonda kila siku.
NDio maana bogi la TPDF linaitwa la masela. Kule hamba kufoleni uwanja wa damu hata na Tshirt yaani ni kifua wazi mgongo wazi,, fimbo zinabebwa na evehicle.
Kule uzalendo tu unaweza kutandika daruga ,, hiyo mikwara na makoplo wamekula nyuki wanasumu ile mbayaa.Kwaiyo ukipata connection kule km si mvumilivu mara out
Mim nina hamu nayo tpdf nikipata fursa bora nifie kozin muliko kufaa uraianiKule uzalendo tu unaweza kutandika daruga ,, hiyo mikwara na makoplo wamekula nyuki wanasumu ile mbayaa.
All the best mkuu.Mim nina hamu nayo tpdf nikipata fursa bora nifie kozin muliko kufaa uraiani
Ila sizani k nitatoboa maan mim sehemu ambazo nazikubaki ni ukachero maswla yakijasusi km tiss cid MI daah napakubali kinoma mzeeAll the best mkuu.
Huko hata utaratibu wale haufahamiki mkuu na hata kozi huwez jua ni lini na hata recruitment yao haijulikani inaangalia niniIla sizani k nitatoboa maan mim sehemu ambazo nazikubaki ni ukachero maswla yakijasusi km tiss cid MI daah napakubali kinoma mzee
Ml Tano umekosa tpdf kweliUkisoma vizuri hapo nimeeleza mentality tuliyokua nayo wakat tnaingia Jkt...ila tushanyooka mbona sema ndo vile sipati mbanga ya PT tuu ntatia hata 5M nikapige mzgoo huko mm
Issue ni huyo wa kumuamini kumpa.Ml Tano umekosa tpdf kweli
Ukiwa mfatiliaji mzuri lazima uwajue wengi tu 😁Duh! Mnawajua aise mkuu
Tatizo kubwa ni pesa hatuna, ndomana sisi watoto wa kimasikini tunashindwa kulamba hii asali ya taifa tunaishia kuzurura tu mtaaniCCP ukiwa na hela cash, wala usisumbuke kwenda kwa usaili na na nini, wee subiri ule wakati wa watu wakisubiri kuitwa CCP, ndo tafuta zako upenyo toa faranga, mbona chaapu jina liko Mkekani.
Hii mbinu inatumiwa na wajanja sanaa, kunae m1 jana kahitimu hapo mzazi wake alimwaga 3M na chenjiii.
TPDF Ndio pagumu sana,
Yes kwa wakat ule nilibahatika kupata mtu akanishika mkono …..kwa jinsi watu walivyochafuka vyeo mabegani pale dodoma bila kua na mbuyu nisingethubutu kufika kwa mkuu wa mkoa maana nakumbuka baada ya vipimo vya afya na mabio lilipigwa panga moja takatifu vijana walilaani sana wengine waliondoka usiku uleule kurudi makwaoUlikuwa una mbuyu mkuu
Katika sehemu za kuogopa kwenye usaili ni DODOMA na DAR maana hiyo mikoa watoto wa maafisa wengi wamejazana humo.Yes kwa wakat ule nilibahatika kupata mtu akanishika mkono …..kwa jinsi watu walivyochafuka vyeo mabegani pale dodoma bila kua na mbuyu nisingethubutu kufika kwa mkuu wa mkoa maana nakumbuka baada ya vipimo vya afya na mabio lilipigwa panga moja takatifu vijana walilaani sana wengine waliondoka usiku uleule kurudi makwao