Simu bado kijana ila kuna madogo wapo 834 tangu ijumaa iliyopita naskia wapo angani tu wanalobulobu na mesi . Cjajua ni wa bogi au kuna mambo mengine wamefata maana naskia wapo kiraia tu mda wote. According. Me sipo 834 ni taalifa kama mnavyanzo vya kufatilia jaribuni kuuliza wanafanya nini coz ni more than 50 peoplesWakuu simu zimeanza kuita kwa watu wa mtaani au bado mtupe lonja..
Mzee siyakucheka sikuwah kutan na tapeli anaye jiamin km huyu sema nilipata hela zangu nusu tena kwa pinde najuz kati kuna mmoj anambia jira ipo ilabid ulioe nikamwamboa hakun shida mim nikikwambia pesa mpk nifik huniamin na ww ukinambia nikupe mwanz sikuamin kwaiyo tuna,tafute mtu wa tatu a,bae hatoki pande yoyote na pesa hupewi mpk nipige angalau week tatualafu pesa upewe jamaa hajanitfuta tenMkuu imebidi nicheke tu😂
Duuuh hatariii basi.Ndo maana mwanzo nikakuambia kuwa kozi yoyote ni ngumu jinsi unavyoichukulia sasa kama wewe ya mujibu wa sheria hapo juu umesema ilikutoa jasho ya huko je?
Mimi nimepiga ya kujitolea tena kozi ya kufa mtu nilipoenda kwenye ajira hata sikuona ugumu wowote yani nilichukulia poa tu
Zamani kabla ya kozi wanakuja wakufunzi wanakuambia watu lazima wafe ili iwe kozi na kweli raia wanakata kweli sasa hivi sasa
Hamna cha connection ...barua na vyeti vinahakikiwa kuweni wapole ....kama utahitajika utaitwa ....ni bahati yako tuShida connection tu kmmkee
HayaHamna cha connection ...barua na vyeti vinahakikiwa kuweni wapole ....kama utahitajika utaitwa ....ni bahati yako tu
Makafiri bhana😃Nina connection ya uhakika police
Kama umechoka ujobless utaniambia za police zikitoka nakuingiza bure kama mfano, wengne waje na vitita, uslete mzaha zikitoka nambieMakafiri bhana😃
🤣Kama umechoka ujobless utaniambia za police zikitoka nakuingiza bure kama mfano, wengne waje na vitita, uslete mzaha zikitoka nambie
Ukion mtu anatak hela ujuqe ni babaisha bwegeKama umechoka ujobless utaniambia za police zikitoka nakuingiza bure kama mfano, wengne waje na vitita, uslete mzaha zikitoka nambie
Hapana mkuu sihitaji kazi hizoKama umechoka ujobless utaniambia za police zikitoka nakuingiza bure kama mfano, wengne waje na vitita, uslete mzaha zikitoka nambie
Sasa humu upo kutapel au kuwaenjoy jobless?Hapana mkuu sihitaji kazi hizo
Mie nina maisha yangu tayari na familia na watoto.
Vyote kwa pamoja.Sasa humu upo kutapel au kuwaenjoy jobless?
Dua ziwe nyingi kuliko matarajio ya juhudi za mafanikio!Wakuu najua possibility ya kuitwa kwenye usaili ni ndogo kama hauna mbanga ila angalau toeni ronja ili tujue nini kinaendelea huko makutu kama wameshaanza usaili tujue na kama bado tujue maana taarifa za uongo ni nying huku mtaani kama kuna watu wameshapigiwa simu tujue basi angalau mioyo itulie akili inawaza depo tu nawaomba jamani news yoyote kuhusu usaili ni muhimu sana kipindi hiki.
Matarajio 0%Dua ziwe nyingi kuliko matarajio ya juhudi za mafanikio!