Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Vp kuhusu cheti cha Jakata au forc number hawaulizi??
 
Vp dogo lako ye kapeleka dodoma au ndo mbanga kamwambia asubir tu kupangiwa sehemu ya kuripoti eidha pwani chuga au zenji
Mdg wang mi Mzee kasema asitume maombi yoyote sasa na wasiwasi Dogo asije akakosa kuvaa kitenge.. na mimi nataman sana aje uku nimpige doso kidg
 
Nacho pia wanauliza unaandika kwenye daftari force no yako na pia kwenye pc wanauliza na operation gani
Sawa nimekuelewa sasa vp madogo ambao hawajawahi Pitia jax wenyewe Hawaji Rtiesin barua zao wanapokea au wanakataa
 
Hata kama mbanga yupo lkn ukicheki watu wanavyotia presha kwamba uspopeleka barua dodoma imekula kwako unakua na waswas wa kukosa
Mkuu punguza mteru. Fuata maelekezo ya mbanga wako. Na kama mbanga wako ni tia maji tia maji basi nenda Ngome sio posta.
 
Mkuu punguza mteru. Fuata maelekezo ya mbanga wako. Na kama mbanga wako ni tia maji tia maji basi nenda Ngome sio posta.
Hahaha mkuu mi npo benchi tangia mwaka Jana bogi la oljoro lilivopigwa azwea sina mteru najaribu tu kujenga hoja maana humu watu wanaosoma hzi quotes ni wengi na wengine hawana hzo habar
 
Wakuu samahani hivi apa waliposema kuambatanisha namba ya simu ya mkononi ikiandikwa kwenye anuani tu inatosha au kuna namna yake inatakiwa.

NB: hii ndo mara yangu ya kwanza kutuma maombi ya kazi bila CV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…