Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Waniue tu! Siku hizi nakula ugali wa dona/ulezi miksa ya togwa na matunda ya kutosha. Hizo nguzo za umeme ziniue tu mitaa ishakuwa jau hii
Hahaha mwaka .... Tulikuwa sehm fulani walijitokeza kama wew mimi nitafia apa apa within 1week watu walikuwa wanaanguka kama kifafa akat walikuja n mbwembwe kibao wanatembea adi juu ya kamba 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…