- Thread starter
- #21
Maana ya uokoaji ni kupiga selfie eneo la tukioUnajua mqqna ya uokoaji lakini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya uokoaji ni kupiga selfie eneo la tukioUnajua mqqna ya uokoaji lakini mkuu?
Watu wapo ndani ya Tope na wapo humo kwa zaidi ya saa 48,what would you do?, hapo ni kuzitoa Maiti kwa staha na heshima na kuzisitiri. RIPs all, poleni wafiwa.Kwa sababu wewe ni hai leo ndo unapata kiburi cha uzima kusema hayo
Kwahiyo ndiyo wameamua kwenda kupiga selfie kwenye mapaa ya nyumba??Huko America wanapataga majanga na sometime huwalazimu kukaa kimya ndiyo itakuwa Tanzania yenu changa!
Bisha kwa hoja, acha maneno ya khanga.Huko America wanapataga majanga na sometime huwalazimu kukaa kimya ndiyo itakuwa Tanzania yenu changa!
Kwahiyo kama watu wako ndani ya tope kwa masaa 48 waokoaji wanapaswa kwenda kupiga selfie kwenye mapaa ya nyumba?Watu wapo ndani ya Tope na wapo humo kwa zaidi ya saa 48,what would you do?, hapo ni kuzitoa Maiti kwa staha na heshima na kuzisitiri. RIPs all, poleni wafiwa.
Kuna yeyote ameweka simu yake kuonesha wanajipiga picha au wamepigwa picha na waandishi wa habari.Kwahiyo ndiyo wameamua kwenda kupiga selfie kwenye mapaa ya nyumba??
Aisee 🤣Hao waokoaji waliopanda juu ya nyumba wanaweza kuvunja paa wakaleta ajali nyingine hapo.
Wamepigwa picha kwasabb wamekuwa kituko cha karneKuna yeyote ameweka simu yake kuonesha wanajipiga picha au wamepigwa picha na waandishi wa habari.
Huku ukishika mpini wa jembe na mgololiMaana ya uokoaji ni kupiga selfie eneo la tukio
Zingatia matukio yametokea katika SCENERIO TOFAUTI HAYAFANANI..... lingetokea kama la precious tungewatukana.Bisha kwa hoja, acha maneno ya khanga.
Mdau kaandika matukio na jinsi uokozi ulivyokuwa.
ACHA POROJO KWENYE MAMBO YA MSINGI KWA TAIFA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Nashauri kuliko wauze sura hapo eneo la tukio na hawawezi kuopoa miili kutokana na maelezo yako, warudi kwenye maeneo Yao ya kuchukulia rushwa, wasubiri Hadi siku pakikauka wakatoe miili kwa mazishi.Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁
Maana ya uokoaji kwa akili zako matope ni kupiga selfie eneo la tukio. Shubamiti!Huku ukishika mpini wa jembe na mgololi
Jamaa wanaogopa wakiingia kuopoa miilo Smart phone zao zitalowana!Unajua mqqna ya uokoaji lakini mkuu?
Wewe unatukuza na kusherehekea maafa kisisaa kututukana wana Manyara. Haya ni maafa yanakupata usiotegemea la sivyo ungejiandaa. Hakika huipendi Nji hii, endelea tu kutafuta tumehuru muombe shangazi awe Chaiperson askofuatupele mwamasika awe makamo wake genderbalance.Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.
2011 meli ya Spice Island ilipata ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya ccm.
2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kwamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.
Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.
Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.
View attachment 2833117
Wehu tu hawa. Waendelee kunuliana mashangingi tu ili wasiumize migongo yao kama wanavyodai wenyeweJamaa wanaogopa wakiingia kuopoa miilo Smart phone zao zitalowana!
Naam! Wakulaumiwa ni serikali ya ccm.Wakulaumiwa ni serikali kwa sababu wao ndio wanapaswa kuandaa vijana na vifaa
Kwani weye ndiye uliyekuwa darin?hao unaowataja wamehusikaje na kupiga kwako selfie 🤪Chadomo kama kawa kama dawa,hawana jema, wao ndio wanajiona wanaakili kweli pumbavu zao,
Uokoaji wa tukio la namna hii siyo sawa na tukio la baharini au moto, na waokoaji wakifuata maneno ya papara wanaweza nao kuzama kwenye Tope, majanga yakawa makubwa zaidi. Tathimini ni muhimu sana kwa aina ya tukio.
Sifa ya polisi kiatu kiwe safi na sare pia. Protocal zinawaminya kufanya uokoziNi fedheha Kwa police force, jw walipofika walizama matopeni kutafuta miili leo hii,wao Toka jana wananyata wakikwepa tope
😂😂😂Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.