Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Ni
Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM.

2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya CCM.

2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.

Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.

Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uzembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.

Ni 21 May 1996.
Siyo 1995.
 
Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁
Watumie marungu na risasi,washawasha lazima wataokoa wahanga kwa haraka sana maana wana uzoefu wa kutumia mbinu na vifaa hivyo.
 
Bongo jitahidi kujiokoa mwenyewe, ukiona umeahindwa kabisa, subiri muujiza kama hautatokea muujiza basi fumba macho tu.
 
Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! [emoji16]
Wote wanaotoa mawazo kinzani sio chadema, wengine ni CCM pia,hiyo mentality unayoishi nayo kila wazo tofauti ni wapinzani ni upumbavu na kuwaza kwa kutumia haja kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema kama kawa kama dawa,hawana jema, wao ndio wanajiona wanaakili kweli pumbavu zao,
Uokoaji wa tukio la namna hii siyo sawa na tukio la baharini au moto, na waokoaji wakifuata maneno ya papara wanaweza nao kuzama kwenye Tope, majanga yakawa makubwa zaidi. Tathimini ni muhimu sana kwa aina ya tukio.
Huna akili wewe.Hiyo mimba ya chadema hadi uitapike.
 
Serekali yetu haina budi kuacha kuwachekea watu ambao wanaishi katika maeneo hatarishi, 1.mabondeni 2.chini ya miteremko ya milima 3. Kuishi karibu na maeneo ambayo yana volcano tuli, 4. Maeneo ambayo yana mapito ya maji hata kama maji hayajapita hapo kwa miaka 50,kwani ipo siku yatapita tena katika njia yake ya asili.
Hoja ya kipuuzi kabisa hii.

1. Unafahamu kwamba mikoa ya Dodomo na Singida Manyara, Mara na Kagera iko kwenye ukanda wa bonde la ufa ambayo ni njia ya tetemeko la ardhi?

2. Unafahamu kwamba mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi,:-Lindi, Mtwara, DSM, Pwani na Tanga yote iko bondeni?

Sasa unataka wakazi wa mikoa yote hii wahamishwe ili kuepukq majanga?

Ingekuwa hivyo Japan ambayo iko bondeni 90% na ni epicenter ya matetemeko duniani ingefutwa kabisa.

Serikali itimize wajibu wake waache kupiga selfie kwenye maeneo ya maafa.
 
Hoja ya kipuuzi kabisa hii.

1. Unafahamu kwamba mikoa ya Dodomo na Singida Manyara, Mara na Kagera iko kwenye ukanda wa bonde la ufa ambayo ni njia ya tetemeko la ardhi?

2. Unafahamu kwamba mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi,:-Lindi, Mtwara, DSM, Pwani na Tanga yote iko bondeni?

Sasa unataka wakazi wa mikoa yote hii wahamishwe ili kuepukq majanga?

Ingekuwa hivyo Japan ambayo iko bondeni 90% na ni epicenter ya matetemeko duniani ingefutwa kabisa.

Serikali itimize wajibu wake waache kupiga selfie kwenye maeneo ya maafa.
Ilo jamaa ni jinga kupita kiasi.
 
Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM.



Nimemuona na mzee wa meno ya tembo akiwa ndani ya ganda la kijani ili aonekane kubwa ameshiriki uokoaji
 
Back
Top Bottom