Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Watu wapo ndani ya Tope na wapo humo kwa zaidi ya saa 48,what would you do?, hapo ni kuzitoa Maiti kwa staha na heshima na kuzisitiri. RIPs all, poleni wafiwa.
Hakuna neno litakalojustify kauli zako za fedheha kuhusu tukio hili.

Naomba kufahamu, ni lini na wapi serikali iliendesha mafunzo ya namna ya kujiokoa na majanga kwa wananchi. Kuna vitu vinaweza kufanyikana kupunguza madhara during disasters.....
 
Upuuzi huu hautaisha hapa bongo.yanapotokea majanga watu hugeuza promo
 
Acha ujuaji, unataka watembee ndani ya tope, wewe haupo eneo la tukio haukui lisa cha hao kupanda juu ya paa, unaleta ujuaji.
 
Jinga kabisa wewe. Unauliza mawazo kutoka kwa raia? Serikali iko kufanya nini? Idiot on the run..
 
Wewe upo eneo la tukio au hiyo picha inayoonyesha au Askari walio juu ya paa ndio kielelezo chako?
 
Hakuna neno litakalojustify kauli zako za fedheha kuhusu tukio hili.

Naomba kufahamu, ni lini na wapi serikali iliendesha mafunzo ya namna ya kujiokoa na majanga kwa wananchi. Kuna vitu vinaweza kufanyikana kupunguza madhara during disasters.....
Serekali yetu haina budi kuacha kuwachekea watu ambao wanaishi katika maeneo hatarishi, 1.mabondeni 2.chini ya miteremko ya milima 3. Kuishi karibu na maeneo ambayo yana volcano tuli, 4. Maeneo ambayo yana mapito ya maji hata kama maji hayajapita hapo kwa miaka 50,kwani ipo siku yatapita tena katika njia yake ya asili.
 
Ni aibu kubwa habari zinasema waokoaji wanaogopa kuzama kwenye tope kwa hiyo ni kama hakuna uokoaji bali utoaji wa maiti matopeni
 
KABLA YA KUANZA UOKOZI WAOKOAJI NI LAZIMA WAYASOME MAZINGIRA TOPE SIO MAJI YA KUPIGA MBIZI. 😁😁😁
 
Usahihi kidogo:
Ajali ya Mv Bukoba ilikuwa mwaka 1996.
 
We have a lot of them. Hili jeshi la zimamoto na uokozi libinafsishwe.
Livunjwe, kuwe na kitengo jeshini au JKT/SUMA they will do better. Wanajeshi si wapo na vita hamna why not take the chance?....
 
Uzuri ni kwamba serikali inapeleka vituo vya kupigia Kura maeneo hayo pia.

Unaitaka serikali ipi ifanye hayo?
 
Sawa inawezekana CHADEMA ni wahuni, lakini kwenye matatizo ya kitaifa tujaribu kuweka pembeni itikadi na unazi uchwara
 
Livunjwe, kuwe na kitengo jeshini au JKT/SUMA they will do better. Wanajeshi si wapo na vita hamna why not take the chance?....
Ninadhani kila Halmashauri ipewe kitengo cha maafa na uokoaji na kiwezeshwe vifaa na wataalamu kulingana na mahitaji ya Halmashauri husika na kulingana na jiografia yake.

Hili la kusubiri wataalamu kutoka Serikali Kuu inaleta urasimu usiyo na tija
 
πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† Kwa hiyo hapo ndio wanaokoa ama wanapaua nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…