Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Ni
Ni 21 May 1996.
Siyo 1995.
 
Watumie marungu na risasi,washawasha lazima wataokoa wahanga kwa haraka sana maana wana uzoefu wa kutumia mbinu na vifaa hivyo.
 
Bongo jitahidi kujiokoa mwenyewe, ukiona umeahindwa kabisa, subiri muujiza kama hautatokea muujiza basi fumba macho tu.
 
Wote wanaotoa mawazo kinzani sio chadema, wengine ni CCM pia,hiyo mentality unayoishi nayo kila wazo tofauti ni wapinzani ni upumbavu na kuwaza kwa kutumia haja kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe upo eneo la tukio au hiyo picha inayoonyesha au Askari walio juu ya paa ndio kielelezo chako?
Hapo kwenye paa ndiyo wanaokoa waliozama kwenye tope?
 
Huna akili wewe.Hiyo mimba ya chadema hadi uitapike.
 
Hoja ya kipuuzi kabisa hii.

1. Unafahamu kwamba mikoa ya Dodomo na Singida Manyara, Mara na Kagera iko kwenye ukanda wa bonde la ufa ambayo ni njia ya tetemeko la ardhi?

2. Unafahamu kwamba mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi,:-Lindi, Mtwara, DSM, Pwani na Tanga yote iko bondeni?

Sasa unataka wakazi wa mikoa yote hii wahamishwe ili kuepukq majanga?

Ingekuwa hivyo Japan ambayo iko bondeni 90% na ni epicenter ya matetemeko duniani ingefutwa kabisa.

Serikali itimize wajibu wake waache kupiga selfie kwenye maeneo ya maafa.
 
Ilo jamaa ni jinga kupita kiasi.
 
Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM.



Nimemuona na mzee wa meno ya tembo akiwa ndani ya ganda la kijani ili aonekane kubwa ameshiriki uokoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…