Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Hata hawajui wafanye nn maskini!! Kazi wanayoijua vyema ni kupiga raia tu pumbavu.
 
Hilo paa hali yake ilivyo na hao jamaa wakapanda tena juu, walijiridhisha ni salama.?
 
Utani mwingine huu hapa. Huyu jamaa anapiga selfie kwenye tope huku wengine wakimuangalia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…