Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

A
ccm wana upumbavu mwingi sana, kituko gani hiki walituletea?? akina bashiru Ally walikuwa sahihi kabsa kutaka kupindua katiba.
ADhabu ya kuvunja Katiba ya nchi katika muktadha ule isingewapendeza wengi..
 
Raisi wetu ni mhalifu namba moja. Sijawahi kumsikia akikemea matukio ya utekaji na uuaji yanayoendelea nchini.

Sijawahi kumsikia akiwaamuru Polisi kuwaleta wakiwa hai watu wote waliopotezwa/ kutekwa
Angefanya hivi hakuna mtanzania angepotea au kutekwa. Kauli tu ingeliponya taifa.Halafu CCM inatuletea tatizo kama hili uchaguzi wa october.Inasikitisha.Kikwete God sees you
 
Acha Ze Komedi kwenye vitu serious we pungo.
 
Acha Ze Komedi kwenye vitu serious we pungo.
Hizo ndo facts. Maguli aliifanya nchi hii ikawa danguro la watu kutembea na vyeti mtaani bila ajira. Five years no ajira, no kupandishwa mishahara, uharibifu wa biashara, kifukuza wawekezaji, kuua mazao kama lamba, korosho, tumbaku , mbolea. Kazi ya lile li jamaa ilikuwa kuwafanya watanzania waishi kama mashetani akiwaneemesha tu ndugu zake akina akina dottp, makonda, sabaya na familia yake tu
 
kuna sababu kwa nini wana slogan kama “kazi na utu” au “kazi na bata” , kwa utu wanamaanisha utu kwa wala rushwa na mafisadi, ukiwagusa wewe hauna utu na ni katili …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…