love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,
Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.
Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Atlantis bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,
Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.
Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),
kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.
Kama utakuw unaufam kuhusu tech ya brain computer interaction(BCI) ni rahisi kuelewa ninacho maanisha.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.
Nakaribisha michango..,
itaendelea...