Ni lugha gani iliyohalibiwa babel na uhusiano wake na Antarctica?

love life live life

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2,584
Reaction score
3,051
Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.

Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,

Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.

Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Atlantis bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,

Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.

Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),

kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.

Kama utakuw unaufam kuhusu tech ya brain computer interaction(BCI) ni rahisi kuelewa ninacho maanisha.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.

Nakaribisha michango..,
itaendelea...
 
Ili ndo bara ambalo wanaishi alien?
Hapana nahisi hizo ni story za kusadikika sijaona maandishi yeyote yaliyosema ivo,
wala hakuna ushahidi huo.

Japo kunajangwa moja la mexico(zone of silince) inadaiwa na wakazi wake kuna simulizi hizo haijahusishwa moja kwa moja na aliens.
 
Hivi seed vault imewekwa wapi?
 
Tukivuta bangi tusikimbilie JF kuanzisha thread. Mara Hitler Mara CIA, Mara lugha Mara chafuliwa.
Kufkia kuandika haya naweza kutofautisha fantasy na reality,

Huwa tunaamini vitu tunavyosikia mara kwa mara(propaganda) sio makosa yako,

kwenye propaganda wanasema kitu ili kiwe kweli inatakiwa kisemwe mara nyingi iwezekanavyo (zaidi ya mara 1000) huu hauwezi kuwa ukweli kwako kwa sababu ndio siku ya kwanza unauskia.

Hakuna utata mpaka sasa kama artlantis watu waliishi ushaidi upo wa kutosha.

Miaka kadhaa nyuma Bruno na Galileo kwa nyakati tofauti waliposema dunia ni duara na inalizunguka jua watu mbali mbali na wafia dini walisema ni bangi kama wewe na wakawaua.

Miaka kadha nyuma watu ungewambia mwanadamu anaweza kwenda mwezini ingeonekan ni bangi pia.

Hatuoni vitu jinsi vilivyo tunaona vitu kwa jinsi tulivyo.
 
Jaribu kutafuta habari za mapiramidi ya hapo Misri yanayoonekana halafu urudi kutafakari kati ya uliyo ya andika hili la kusema wasingeweza kujenga mnara wa kumfikia Mungu wa Mbinguni.
 
Sina hakika kama ingekuwa ivo mbona now mzungu anaenda mpaka mwezin na sayari za mbali?
Piramidi ilikuwa ni teknolojia ya kuharness energy nijuavyo.
Kama ilikuwa n tech ya kumfikia Mungu nitakubari lakini sio mnara ambao urefu wake ungefika Mungu alipo.
 
Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,
Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.
Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Antarctica bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,
Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.
Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),
kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.
Nakaribisha michango..,
itaendelea...
Hapo kwenye Antarctica ulimaanisha Atlantis au?
 
Hii lugha ni lugha ya roho mtakatifu.

Hata leo , mchina akiongea lugha ya roho mtakatifu na wewe ukawa unaengea lugha hiyo katika maombi , huwa munaelewana licha ya watu waliopo kati yenu kutoelewa manchokiongea

Lugha hii haizungumzwi kwa kutumia akilia bali mpaka roho wa MNUGU akushukie.

Ikumbukwe kuwa kuna lugha za kipepo kama mtu akipandisha majini huziongea au waganga wa jadi
 
Roho mtakatifu si amekuja baada ya Yesu kupaa mbinguni according tu maandiko.
Au unaongelea roho yupi?
 
Wanasayansi mpaka leo hawajathibitisha kuwepo kwa bara Atlanta . Sehem wanayosema ilo bara lilikuwepo kila wakichimba na kutafuta mabaki ya vitu hakuna kinachopatikana kwenye bahati ya Mediterranean
 
Wanadai ivo course is the best way ya kufunga mjadala kuhusu atlantis.
vyanzo mbali mbali vinaonyesha it existed.
 
Ni kweli It existed kutoka na vyanzo mbalimbali lakini wanasayansi unawajuwa watu wa Data. Hawaamini kwa sababu wameambiwa au kusoma wanataka ushahidi kama masalia ya vyombo vya kale, majengo. Vitu havionekani imegeuka na kuwa Nadharia. Nimefuatilia kwenye NAT Geo channel
 
Uko sahihi ndio maana nimesema hiyo ndio njia pekee inayotumika kufunga mjadala kuhusu jambo ambalo halitakiwi kujadiliwa.
Na media ndio nyenzo kuu ya kueneza propaganda hizo baada ya mda inakuwa fact inaandikwa kwenye vitabu hakuna mtu wa kuhoji tena.
 
Back
Top Bottom