Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

Wakuu,

Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?

Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?

Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!

Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.

Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.
"Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako."

Sawa Cute Wife umesomeka [emoji23][emoji23]
 
Kumbe kama kaomba msamaha si maana yake anajua alichomaanisha? Utetezi mwingine wa kipumbavu. Yeye kaona amekosea. Wewe pako pakavu tia mchuzi unaleta siasa. Mengine yaacheni tu yapite.
Wewe na hiki unachoandika ndio upumbavu, yeye kuaomba msamaha kwa uoga wake hakumaanishi kafanya kosa, ni kutojua haki zake tu. Lakini hakuna kosa amefanya na hakuna popote Baraza la sanaa linaweza shinda hiyo kesi, watu wanashinda kudai haki kwa mazoea ya wajinga kama wewe. Vitu kufanya mazoea haimaanishi ni sahihi
 
Mkiendelea kuwaachia na ujinga wao kuna siku wataenda kuwekana mbele ya jukwaa na huyo mwehu mwenzie.

Mtu una wazazi wako hai kabisa unatamkaje hivyo mbele za watu? Mi sielewi mtu unawezaje kukosa adabu kiasi hicho hata kama ndio usanii.
Mama mtu nae ni walewale. We msikize hadija kopa baadhi ya nyimbo zake utagundua bintiye anachezea mulemule.
 
Wewe na hiki unachoandika ndio upumbavu, yeye kuaomba msamaha kwa uoga wake hakumaanishi kafanya kosa, ni kutojua haki zake tu. Lakini hakuna kosa amefanya na hakuna popote Baraza la sanaa linaweza shinda hiyo kesi, watu wanashinda kudai haki kwa mazoea ya wajinga kama wewe. Vitu kufanya mazoea haimaanishi ni sahihi
Umekula? Mbona umepaniki sana?
 
Wafirika sijui Nani katuloga. Watu wanao dai kulinda maadili wako kwenye nyadhifa hizo kwa kura za wizi. Yaani kuvaa nusu uchi ni kuvuja maadili, ila kuiba kura sio kuvuja maadili. Kuiba fedha za Uma sio kuvuja maadili, kuuwa watu wakati wa uchaguzi sio kuvuja maadili. Kutumia magari na Mali za Uma kwa masirahi binafusi sio kuiuka maadili. Kuvuja haki za binadamu sio kuvuja maadili. Kuvuja katiba sio kuvuja maadili. Kula chakula wakati wa kufunga ni kuvuja maadili. Dini zenyewe mmeletewa na warabu na wazungu halafu mnajifanya kuzipenda kuliko walio waletea.
 
Na hao walipanda jukwaani wakaimba alivyoimba Zuhura?
Wazungu wanatuzidi akili sana ndiyo maana wana 🔞 na kila siku wanazidi kuendelea huku sisi tunarudi nyuma. Mtu yupo 2024 anataka kuishi kama 1920.
Upo ukumbini unalalamika Zuchu anaimba matusi wakati hapo umetoka kunywa pombe na tena ukitoka hapo unaenda kufanya ngono na mtu ambaye siyo mume wako
Wafrika bhana, nyimbo za dini atataka asikilize, nyimbo za kidunia (rnb & hip hop) atataka asikilize yaani utakuta Diamond ana show Zanzibar Shekh na mchungaji anataka akaone tena akiwa na familia yake. 😀😀😀😀
Ndiyo matokeo yake hayo sasa unaanza kuweka maana ambayo haipo.
1. Zuchu amefanya kosa gani?
2. Hilo neno ambalo ni tusi, ni lipi? Mku.... Ni tusi?
Kumaanisha ni nini na hilo neno kumaanisha ni nini ni tusi?
 
Back
Top Bottom