Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako."Wakuu,
Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?
Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?
Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!
Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.
Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.
Wewe na hiki unachoandika ndio upumbavu, yeye kuaomba msamaha kwa uoga wake hakumaanishi kafanya kosa, ni kutojua haki zake tu. Lakini hakuna kosa amefanya na hakuna popote Baraza la sanaa linaweza shinda hiyo kesi, watu wanashinda kudai haki kwa mazoea ya wajinga kama wewe. Vitu kufanya mazoea haimaanishi ni sahihiKumbe kama kaomba msamaha si maana yake anajua alichomaanisha? Utetezi mwingine wa kipumbavu. Yeye kaona amekosea. Wewe pako pakavu tia mchuzi unaleta siasa. Mengine yaacheni tu yapite.
Sawa.Hivi ni jinsi mlivyotafsiri nyimbo sicho kilichowasilishwa
Mama mtu nae ni walewale. We msikize hadija kopa baadhi ya nyimbo zake utagundua bintiye anachezea mulemule.Mkiendelea kuwaachia na ujinga wao kuna siku wataenda kuwekana mbele ya jukwaa na huyo mwehu mwenzie.
Mtu una wazazi wako hai kabisa unatamkaje hivyo mbele za watu? Mi sielewi mtu unawezaje kukosa adabu kiasi hicho hata kama ndio usanii.
Everyone is fool except ya'll.Katamka nini cha ajabu. Bado watu mnacomment kwa hisia. Nini cha ajabu alichotamka cha kukosa adabu? Lete tusi alilotamka
Umekula? Mbona umepaniki sana?Wewe na hiki unachoandika ndio upumbavu, yeye kuaomba msamaha kwa uoga wake hakumaanishi kafanya kosa, ni kutojua haki zake tu. Lakini hakuna kosa amefanya na hakuna popote Baraza la sanaa linaweza shinda hiyo kesi, watu wanashinda kudai haki kwa mazoea ya wajinga kama wewe. Vitu kufanya mazoea haimaanishi ni sahihi
Alitamka huku akionyesha kwa mkono wake anachomaanisha..Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..."
Je wewe kama ww kulwa unadhani wamebomoa maadili yako kwa kauli zao?Afadhali kafungiwa kama ni kweli
Zuchu na Gigy wana kauli fulani hivi za matusi ya ndani ndani kwenye nyimbo zao
Basi hapo ni dhahiri aliimba matusi kama kulikua na waitikiaji lazima walimalizia hilo tusi
Wazungu wanatuzidi akili sana ndiyo maana wana 🔞 na kila siku wanazidi kuendelea huku sisi tunarudi nyuma. Mtu yupo 2024 anataka kuishi kama 1920.Na hao walipanda jukwaani wakaimba alivyoimba Zuhura?