binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Tushakwama.20 kadhaa hapo 🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushakwama.20 kadhaa hapo 🤓
We najua uko 35+ au 40 kabisa🤓🤣Tushakwama.
41 mwezi huu.We najua uko 35+ au 40 kabisa🤓🤣
Hongera madam🤓, mkweo nita mleta umfundishe akili zako😆41 mwezi huu.
Bila shaka kabisa.Hongera madam🤓, mkweo nita mleta umfundishe akili zako😆
Sasa mbona aliomba msamaha kabla ya kufungiwa, ina maana anajua mwenyewe alichokusudia. Lakini ww shabiki andazi unacomplain utasema ndio meneja wake.Wakuu,
Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani?
Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba "Mku" ni tusi? Akisema alimaanisha mkungu wa ndizi? Mkutano mkuu, Mkuu wa mkoa?
Zuchu akiamua kupiga hili mapema sana anashinda, hakuna grounds za kumfungia kwamba kavunja maadili kwa tafsiri ambayo inakamilishwa na watazamaji, yaani chombo chenyewe ndio knakisia kwamba hapa itakuwa alikwa alimaanisha hivi. Hata wewe unayesoma hapa, nikikuuliza Zuchu katukana nini kaenda vipi kinyume na maadili kutokana na alichotamka hutakuwa na jibu, utabaki kuzunguka zunguka lakini hautakuwa na jibu!
Baraza la Sanaa Zanzibar hapa limekurupuka na hata wakienda Mahakamani Zuchu mapema sana anawalaza na watatakiwa kumlipa faini, BASATA na yenyewe ikijichanganya itakuwa mule mule tu, sema wasanii wa bongo ndio hivyo, hawajui haki zao, mwisho wa siku wanapelekeshwa tu ovyo ovyo ka ng'ombe.
Uje kubishana kwa hoja, mihemko iache nyumbani kwako.
JoAfadhali kafungiwa kama ni kweli
Zuchu na Gigy wana kauli fulani hivi za matusi ya ndani ndani kwenye nyimbo zao
binti kiziwiBila shaka kabisa.
Zuchu kamuiga mamake matusiMkiendelea kuwaachia na ujinga wao kuna siku wataenda kuwekana mbele ya jukwaa na huyo mwehu mwenzie.
Mtu una wazazi wako hai kabisa unatamkaje hivyo mbele za watu? Mi sielewi mtu unawezaje kukosa adabu kiasi hicho hata kama ndio usanii.
Kwani mdogo ako haja maliza chuo Cha nursing🤓Bila shaka kabisa.
Kwa hiyo huko kwenu ukipeana mkungu wa ndizi na kugeuka nyuma unaomba radhi?Kwahiyo mkungu wa ndizi na akageuka nyuma ndio kupeana mkungu wa ndizi hivyo
Wanakushikisha ukuta ndio maana umejaa chuki na wivuKisu kimepenya kwenye mfupa 😂😂
Kijana wa sinza ndio mambo yenu mnavaa hereni na vibukta bila kusahau kupaka lips shine halafu ni mwendo kinyume na maumbile hivyo lazima utetee…….
PumbavuKwa hiyo huko kwenu ukipeana mkungu wa ndizi na kugeuka nyuma unaomba radhi?
Huko kwenu ni kosa kama alimaanisha mkungu wa ndizi?
Ila kuomba radhi siyo justification ya kuwa umekubali kosa mkuu. Mkuu kuna ile unaona bora yaishe basi unaomba radhi badala ya kuendelea kugombana wakati wajua umeshika wapi na adui kashika wapiKuna lugha ya ishara.Aliposema mku akaonyesha kwa ishara anamaanisha nini.
Angeimba mku halafu akaonyesha ishara ya mkufu watu wangetafsiri alichomaanisha.
Alionyesha wazi alichomaanisha na ndio sababu ameomba radhi.
Mkuu so umeskiliza nyimbo zake zote ili zikusaidie nini?Binafsi sijui kama ana wimbo wowote ambao unastahili kusikilizwa na mtu mwenye akili timamu
Junya wewe uliyekuwa unatetea ubaradhuli.Ni mshirika wako huyo aliyeomba msamaha?Pumbavu
Kamuulize zuchu ambae ameomba msamaha kosa aliloomba msamaha ni nini?
Ng'ombe wewe