PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nyumbu wamefura, eti wale viongozi wao hawana akili. Nyumbu wamesahau kwamba waliwachagua baada ya kuona ndo wenye akili.
 
yaani katika hao 3000 hakuna hata mwenye ushawishi wa kuleta wanachama wapya hata wa 5
 
MAIGIZO YA JOHN MREMA KWA CHAMA CHA UBWABWA.
 
Nyumbu wamefura, eti wale viongozi wao hawana akili. Nyumbu wamesahau kwamba waliwachagua baada ya kuona ndo wenye akili.
nyumbu inatakiwa wasi fure,
wajifunze namna wananchi wanavyo paswa kutumia uhuru na haki zao za kikatiba kisiasa, kuamua mustakabali wa wa mirengo ya siasa zao 🐒
 
CCM ni Chama kubwa sana.. Yaani hapa wametumia option A tu kwisha habari yao wapinzani wamerudi zero 1992 kuanza moja. Na bado kuna option B mpka Z. Hapa itachukua tena miaka 30 wapinzani kurudi walipokuwa 2015 kabla ya Magu kuingia. so sad!
 
yaani katika hao 3000 hakuna hata mwenye ushawishi wa kuleta wanachama wapya hata wa 5
Na bado mlichawagua? Inaelezea nini kuhusu uwezo wenu wa kufikiri?Vumilia kila mtu ana haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.Siasa sio dini.
 
KINAWEZA KUWA CHAMA CHA UPINZANI WAKIWEKA MIKAKATI VIZURI
 
Rungwe ana bahati sana.Usajili mzuri sana ameufanya
 
Ah. Siasa zetu hizi unavofatillia hakikisha ushaacha Kodi ya meza nyumbani.
 
Posho yao ya alfu 40 mmeshawapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…