PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama huoni tatizo basi hujui kanuni ya mafuta na maji... Ni vitu visivyochangamana!
 
Hata Zitto na Kitila walianza kwa mbwembwe tena zaidi ya hizi.
 
Wapinzani gani wamerudi zero?

Hivi mlivyo wapumbavu mnadhqni Watanzania wa leo mnaweza kuwahadaa kwa ujinga wenu mnaofanya leo hapo?

Tembelea maoni ya wananchi mjue hapo mmepotezq tu pesa zenu.
Kwa miaka ya sasa hakuna jinsi upinzani wa Tanzania utakaa uwe focused kama ulivyokuwa mwaka 2000, 2005, 2010, 2015... Hii imedhihirisha wapinzani wengi walioko Tanzania ni waganga njaa na kuwashabikia ni kupoteza muda....upinzani pakee ni ndani ya CCM. Ndiyo maana nikasema itachukua miaka mingi sana kurudisha ule upinzani tulioujua wa akina Dr Slaa, Mabere Marando, Masumbuko Lamwai, Amani Walid Kabouru, Seif Sharif Hamad, Prof Baregu, Prof Safari, Wangwe, Chachage etc. Hawa wa sasa tuwachukulie ni wahanga njaa tu. Mtu unashindwa kwenye kura unahama chama...nitashanga sana sana nikiona na Mh Mbowe pamoja na heshima yake naye ajiunge na chama cha Ubwabwa...very disappointing!
 
Haya ni maigizo ya waziwazi! Hao wanachama 3000 ni Dar tu au wengine watatoka mikoani? Na ni mikoa ipi ambayo wanachama watatokea? Mimi naamini hii biashara mwisho wake ni mbaya tu! Watu wa sasa si sawa na wa enzi za NCCR mageuzi! Propaganda za hivyo zilishapitwa na wakati! Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma!!!
 
Mafuriko yenyewe sasa..
 
Bado hujasema
 
Naona CCM fan boys wanashindana kujaza threads za propaganda. Ni nani anamkumbuka John Momose Cheyo. Deja vu.
 

Kama CHADEnA ni so weak kwa nini CCM wanatumia nguvu zote hizi kupromote chama mfu. Grow up!
 
Sasa kama ndio unafikiria hivo ntafanyaje, maana siwezi kukulaumu maskini ya mungu, wala kukubishia. Haya sawa.
 
Hivi hawa wananch mnawaona kama ngedere nini?

As if ni vipofu na viziwi!
Au ndo kujitekenya na kucheka?
 
chadema laana ya kufurahia kifo Cha raisi Magufuli lazima iwale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…