Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Watu wengi wanayasifiaga mafuta ya KUZA, na mnyonyo ila mimi sijawahi kutumia maana nywele zangu huwa nazisukaga minyoosho ya uzi hadi zinaanza kusukika bila uzi nakuwa nasuka minyoosho kubwa kubwa ndiyo zinazonikuzia nywele.
 
Kuna mafuta anatengeneza mdada mmoja hivi yanaitwa batey castor oil aisee ni moto. Kwanza anatumia yeye mwenyewe na wafanyakazi wenzake pia.
 
Sikuona tag kipenzi
Leejay49 mm nliwah tengeneza mwenyew yalinisaidia ila kila anaekuja anaomba km unamuda tengeneza haifiki iyo 50k

Kuna mdada pia anauza naona bidhaa anazotumia kutengeneza yatakuwa mazuri ila sijawah tumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…