Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Exactly! Gari za siku hizi zinaboa sana. Gari ina option nyingi sana mpaka inapoteza ladha ya kuendesha. Alafu karibu gari zote latest zina feature zinazofanana kuanzia back up camera, touch screen, parking sensors, automatic break za kuzuia gari isigonge unapo reverse, automatic head lights n.k
Ndio maana nao days napenda old and tough cars kama LC 60, 70 na 80 Series, Land Rover Defender Heritage, Nissan Patrol Y60 na gari zinafonana na hizo.
 
Duu minajua X6 kwani kunatofautigani hapo nipe elimu nielewe.
X6 M sport ni version ambayo wameongezea option kuifanya iwe na performance ya kisport. Ina nguvu na mbio zaidi ya Beemer ya kawaida.
Pia bei yake iko juu zaidi.
 

Attachments

  • 6E237D53-4E03-42D4-8052-B7DC71858171.jpeg
    205.2 KB · Views: 12

Uko sawa kabisa mkuu,shida watu tunaopenda vitu vigumu/vya kazi kama hizo choice zako hapo juu tunazidi kua wachache,majority wanataka gari yenye makorokoro ya kisasa mkuu.
 
•FERRARI.
•BUGATTI
•chevloret .
•Rolls royce
•LAMBORGINI

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Anzeni hata na tuvitz.. Sio mtu mtu unawaza ghorofa wakat huna hata uwezo wa kumiliki sofa..
 
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.

Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger

Zote New Model.
Ford Ranger...
 
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.

Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger

Zote New Model.
mimi ni bm na ford ranger kwisha kazi
 
Ford Mustang
Humvee
Dodge Ram

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
1. Ford ranger
2. Range rover ile baba lao
3. Maserati
5. Benz..lorry la mizigo[emoji28]

Sijawahi kuota ndoto isitimie...Ford soon ntainyaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…