Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
πππUlikua mkunga wa dharura lkn fresh tunaenda peponi woteYani raha sana ukitoa msaada kwa muhitaji,
Kuna mdada nilimsaidia akajifungua salama, vinginevyo angepigwa kisu basi alinishukuru kwa machozi
Wapenda misosi tupooooooooooo[emoji3060]Kuwapa wazazi wangu...
Kula msosi mzuri (wale wapenda misosi tujuane,lol)
Kwamba kwa mwaka waweza pata Harusi 10?michango harusi inafilisi sana ukiiendekeza.. alafu imejaa lawama sana [emoji28][emoji28][emoji28]
Ipo siku utajikuta uko Polisi bila maelezo sababu ya zawadi unazotoaMi bana napenda kuwapa zawadi Hawa watoto kuanzia darasa la 4 kwenda chini Hadi la kwanza Huwa napata Amani make Huwa naona kabisa Shukraan yao inatoka moyoni kabisa.
Sababu ukimpenda jirani yako kama nafsi yakoKaribu na kifo chake mwalimu mmoja wa sheria akamsogelea Yesu na kumuuliza ni amri ipi iliyo kuu. Akamjibu ya kwanza mpende Mungu wako kwa moyo wote
Akamjibu ya pili: Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi
This is the best of All. Mtoa mada anaonekana ni mbinafsiKwangu mimi
1. Kutembelea wagonjwa hospitalini nikitoka hapo napata amani kubwa.
2. Kutoa kitu kwa ajili ya masikini bila kuombwa nayo napata amani sana.
πππππUlikua mkunga wa dharura lkn fresh tunaenda peponi wote
Nikitoa pesa kwa ajili ya kumnunulua kitu mzazi wangu najiskia amani sanaHallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)
Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
π―π€Sababu ukimpenda jirani yako kama nafsi yako
Hauta muua, iba, zini, tamani, semea uongo
Sababu ukimpenda Mungu utazishika amri zake na kuzitii,
Duuuh.Ipo siku utajikuta uko Polisi bila maelezo sababu ya zawadi unazotoa
Kabisa mzee, huwa nafeel guilty kabisaa.Daah man,hakuna kitu huwa kinaniuma moyo kama kupigiwa simu au kufuatwa na mtu ambaye namjua kabisa,namuaminia af aniambie ana shida nishindwe kumsaidia! Daah huwa inaniumiza sana
You good broβπ½Kabisa mzee, huwa nafeel guilty kabisaa.
Burudai ninayoipata nafsini mwangu baada ya kusaidia haielezeki kwa kweli nahisi inazidiwa kidogo na pale ninapompa mama yangu au kumpa zawadi mke wangu nae akaifurahia.
Nina majirani zangu hali tete, nikibahatisha kahela, nikinunua kitoweo cha kutosha basi hiyo nitaigawa na kwao, huyu mmoja mwanae ni mgonjwa gonjwa anateseka sana, plan yangu kwa sasa nikipata vichenji nimkatie bima tu(mungu anisaidie)
Kuna kipindi nilitamani nianzishe utaratibu wa kuwasaidia utaratibu wa kuwachangia bima ya afya watoto yatima, kuna mambo yakanikwamisha na kunirudisha nyuma(mwenye uwezo afanye hili jambo, niko tayari kumpa mipango yangu)
Kapeace ww hatari!πππ