Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

[emoji3][emoji3][emoji3]..basi kila mtu anawaza anavyoona yeye mm ndo ushauri wangu huo hata nikiwa na binti ntahakikisha ana kitu cha kujishikizA
Je una uhakika kwamba ushauri wako utafanya kazi kwa asilimia 100
 
Una akili sana! Anaongoza humu..sijui ni inferiority! Anaongoza humu mie aina ya watu wa hvi hapana hata kuinteract nao kbs
Really?! Inferiority?! Me??

Inferior towards what?! So in this case me kuongelea bad side ya watu that automatically inanifanya kuwa inferior kwako?!

Mmmmmmhmn
 
[emoji3][emoji3][emoji3]..basi kila mtu anawaza anavyoona yeye mm ndo ushauri wangu huo hata nikiwa na binti ntahakikisha ana kitu cha kujishikizA
Ki uhalisia huo ushauri wako umetoa kutokana experience yako tu, hivyo utasaidia kwako na sio kwa wenzako.
 
Really?! Inferiority?! Me??

Inferior towards what?! So in this case me kuongelea bad side ya watu that automatically inanifanya kuwa inferior kwako?!

Mmmmmmhmn
Jitafakari tu...aliyekuambia nadhani ni mwanaume mwenzako...unasomeka hivyo
 
Anatakiwa Samcezar apate mwanasaikolojia ampe msaada, la sivyo issues zake na wanawake hususan ma single moms itamsambaratisha sana

Uzuri mtu ukishamjua ana shida Dawa tayari imepatikana
Mnampuuza tu,hakuna anae jali hizo shit zake zaidi tunamshangaa tu mwenzetu yupo bitter au aliokotwa chooni maana si kawaida[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Usipojitambua ukiwa na miaka Ishirini Na mbili jihesabu Safari yako ngumu Sana kimaisha
Miaka ishirini na miwili kibongo bongo bado sana kimaisha, huyu atakuwa A-level au chuo first year amasecond year....Ni ngumu kwake kujua real taste of life.
 
Uzuri mtu ukishamjua ana shida Dawa tayari imepatikana
Mnampuuza tu,hakuna anae jali hizo shit zake zaidi tunamshangaa tu mwenzetu yupo bitter au aliokotwa chooni maana si kawaida[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaa Maya bwana
 
Really?! Inferiority?! Me??

Inferior towards what?! So in this case me kuongelea bad side ya watu that automatically inanifanya kuwa inferior kwako?!

Mmmmmmhmn
Mr Perfect
First Right your wrongs so you can correct others.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepitia komenti nyingi nimekuja kugundua kitu,

Wakati wanaume wanatafuta kazi pesa ili wahudumie familia zao vizuri wanawake wanatafuta kazi na pesa ili wawwaendeshe wanaume. Utofauti mkubwa mno[emoji23][emoji23]
 
Hahahahaa Maya bwana

Ana makasiriko huyo hatarii
Kuna siku alinishambulia kwenye post yangu matumizi ya K yangu ila alini attack kama vile ana ubia kwenye K yangu nikabaki kushangaa
Toka hio siku nikipita nikiona comment zake ni za hivyo hivyo tu nikajua kumbe sikukosea yeye ndio ana shida
 
Back
Top Bottom