Ni mambo gani mepesi kufanyika ambayo huwezi kuyafanya?

Kunywa soda moja kwa moja kwenye chupa yake, kula ndizi kwa kuing'ata moja kwa moja baada ya kuitoa maganda, na kula zile ice cream za Bakhresa.

Hivi vyote hunijengea picha fulani kichwani ambayo huwa sikubaliani nayo hata nikiwa sehemu pekeyangu, ingawa kwa wenzangu vinafanyika kirahisi kabisa tena mbele ya kadamnasi.
 
Pote nitakuvumilia ila hapo pa mwanaume kunyonya zile lambalamba za Bakhresa walaqhi' nasimama kinyume.!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…