Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Acha uongo na imagination zako. Alafu mi sio baby boy. Labda hako kajamaa kako ndio kababy boy. Mi mkulungwa wewe. Pumbavu kabisa wewe.
Kitoto cha mama mkwe asbh asbh umenyimwa tam na mama chanja mbona una kisirani hivi,
nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu... Hiyo pumbavu nakurudishia mwenyewe
 
Kitoto cha mama mkwe asbh asbh umenyimwa tam na mama chanja mbona una kisirani hivi,
nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu... Hiyo pumbavu nakurudishia mwenyewe
Haya kuwa na siku njema sister with much love kwako. Bora umeniita mpumbavu kuliko kunidharirisha kwa kuniita "baby boy". 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😃😃😃😃 Baby boy ni hako kajamaa kako kupuuzi.😃😄😁😆😅😀
 
Umbea….. kila jion hua sitakiwi kua karibu na simu wala tv, nikuanza kupewa habari za kitaifa na kimataifa, kabla ya kua nae sikuwahi kujua ni mbea kiasi hiki, umbea ukiwa mpya napigiwa simu nikiwa kazini niwahi nyumban leo kumbe issue ni umbea tu, yan akikosa umbea atanza hata kunipa story za mtoto au wateja wake kazini yan akikosa kabisa ananza kuniletea story za kwenye viseries vya kwenye group zake huko ilimradi aongee tu na kumsikiliza iyo ni lazima sio ombi.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ukiwa mapajani kwa mama chanja si unakuwa baby boy jamani acha kuwa baridi hivyo hata hupendezi
 
Brother hizo ndo characters za wanawake aseehhh ...hakuna baya hapoo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole mkuu
 
Mnaoshangaa namna ya kuminya dawa ya mswaki…
Mshua alitufundishaga enzi hizo kwamba kiustaarabu tu na kinidhamu dawa ya mswaki inapaswa iminywe chini.. minya chini kadri inavyosogea.

Sasa wengine unakuta anaminya kati, mara kaminya juu.. dawa inabaki na shape mbaya kweli kweli
 
1. Mvivu sana hata nyumba hafagii yote. N jioni na sebuleni tu. Nguo najifulia mwenyewe. Shuka mpaka uzitoe ndo kwa aibu atafua.

2. Mchafu.
Umepewa limbwata c bure
Kumvulia mwanamke mchafu nacho ni kipaji , afadhali wanaume uwe mchafu aisee , ila mwanamke akiwa mchafu , nyumba inakuwa haitamaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…