Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

She is really introvert.
 

Binamu, wifi anakupenda sana.
 
B
Binamu, wifi anakupenda sana.
Binamu, kwa kuwa umesema wew, mie sipingi hata kidogo.
Binamu we haya ukisema mchanga sukari mie nalamba. πŸ˜‚

Shida kubwa ni maisha yangu ya awali, nimeharibika binamu yangu, nishazoea maibilisi walikuwa wananipa K-vant murua kabisa, , sasa nimekutana na malaika wa mbinguni, ananipa maji na juice tu, tena kwa adabu na heshima zoote, mpaka magoti napigiwa!!
Nilizoea K-vant, ngumu kumeza, mshike mshike ndege tunduni,
Zile mbilinge mbilinge bayoyo nakosa binamu...
We ndio unanijua vyema binamu yako. 😌😌

Ndio maana tukashauriwe tusinjunje kabla ya ndoa, mkikutana wote bado aahh, kila anachofanya mwenzio dhahabu, sasa ushakutana na washenzi wa dunia ni mtihani.


Yote kwa yote nampenda pia wifi yako, nafurah wala sijutii kuwa nae.
Uje kutizama mjomba wako, mtoto atakuwa hamjui shangazi yake πŸ˜‚πŸ€£
 

Binamu, hao wa K-vant wanaamsha popo ila sio long term. Kuna umri unafika unahitaji utulivu na wifi ndo atakusaidia kufika huo umri salama.

Halafu wanaume mnapenda sana kashkash. Shem wako alikuwa ananisimulia story za ex wake alivyokuwa crazy sijui mgomvi, nimeishi naye miaka 3 nimegundua yule dada hakuwa crazy wala nini, ni huyu bwana anapenda tu akupande kichwani, ukasirike na kufoka, umnyime mzigo auombe siku 3 mradi tafrani tu.

Wifi atakuwa wa Tanga bwana. Sio kwa mahaba hayo. Mungu awalinde na awalindie ki-baby chetu. Shangazi anajaza kontena kutoka china, siji mwepesi.
 
Nahitaji kashikashi za faragha lakini sio kashi kashi za maisha, ndio maana nimedrop kashikashi za faragha ili nipate amani ya moyo kiukweli.. Uamuzi mgumu lakini una usalama wa nafsi, afya ya moyo wangu na akili pia.

Sio wote binamu, binafsi yangu sipendi kupigizana kelele, kitu makelele siwezi, niliwahi ishi na mtu uswahili mwingi akianza kuongea mie nautafuta mlango nasepa, siwezi kabisa majibishano, maweza ishia mnasa mtu kibao buree..
Nimekosea niambie kistaarabu, nami nitakiri kosa, unifokee kama umenizaa, hata mwenzangu akikosea siwezi mfokea ziaid ya kumjulisha kafanya sivyo, labda alete ubishi sasa.
Maswala ya kunyimana mzigo sitaki sikia, tugombane, tupeane mzigo na tuombane msamaha huko huko kwenye kupeana mzigo πŸ˜‹πŸ˜‹
🀣🀣

Wifi yko ana asili ya tanga.. Lakini si mzaliwa wala mkazi wa huko.. πŸ˜‚

Amini binamu, dua zako ziwe maqbur kabisa, mungu azipokee, nawe nakuombea mema kama unayoniombea mimi.

La mwisho nasema shangazi hana baya, ukifa huozi, mjomba wako anasubiri kontena la shangazi.. πŸ˜‚
 
Huyo mwanamke ANAKUPENDA SANA!

Usiwe unamuudhi... muheshimu sana! Na akitaka details mpe.
 
Huyo mwanamke ANAKUPENDA SANA!

Usiwe unamuudhi... muheshimu sana! Na akitaka details mpe.
Kumuheshimu tu, namheshimu saana.

Heshima yangu yoote nampa yeye na heshima nyingine nakopa benki ya heshima duniani nampa yeye.
 
Me wa kwangu shida kubwa aliyonayo ni kwenyw kutoa papuchi tu especially akiwa ameshalala hataki kabisa kuamshwa. Yaani mtagombana hapo, na hutapata kitu na utaishia kununiwa na unaweza kukosa hata wiki 2 au 3. So nimeshajizoelea, nikitaka mambo namuwahi kabla hajalala, mwanzoni ilinipa shida sana baaye nikazoea tu. Kitu kingine anachoniboa ni mkitofautiana kidogo tu kosa liwe lake au lako basi hapo adhabu yake ni kukunyima papuchi😊, yaani hapo atanuna hata wiki na mzigo hupati. Yaani nilishaongea sana kuhusu hii issue lakini wala hajali. Uzuri wake ni mcha Mungu sana kanisani, jumuiya hakosi, watoto analea vizuri, mfuatiliaji wa masomo yao, msafi, mpishi mzuri sana, si mchoyo, kifupi ni mama bora wa wanangu.
Ila kama ujuavyo nyege hazina adabu kwa hiyo kukabikiana na hali hiyo nina single mama wangu mmoja huyo mzuri shape na nn alizalishwaga mapema, nikizidiwa na upriru naenda punguza nyege huko, shida ni cost zake mara nimeishiwa chakula, sijui nimuongezee ada ya mwanae, sijui pango la nyumba, mara gas, mara zamu yake kununua umeme etc.. Wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Nilijua tu[emoji23][emoji23][emoji23]

,haya manung'uniko itakuwa umetafuta mbadala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkeo ni mama bora[emoji3059]
 
Kiswahili ni lugha ya taifa.. Hujaelewa kipi mzee!?
Nimekuelewa vizuri sana, sema wewe ndio umeshindwa kunielewa kwanini nimekujibu hivyo.....

Umesema kuwa wewe hupendi kuongea ongea mara kwa mara au sio muongeaji tuseme, wakati huo mkeo nimuongeaji sana kiasi kwamba mpaka muda mwingine unaona kero.....

Sasa na Mimi ndio nasemaje, wewe ulistahili kupata mwanamke mwenye gubu yaani yule ambaye haongei kabisa na hasa mkiwa mmetofautiana jambo anaweza akakaa hata wiki nzima haongei... Huyo mngeendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…