Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Wakuuu habari za usiku.

Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO.

1. Kutopokea simu.
Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea usijisumbue kutuma sms, ukituma kuna siku utaisoma mwenyewe.

2. Dawa ya mswaki.
Kwenye matumizi ya hii KITU yeye huminya popote pale.

3. Hajichanganya na WATU.
Yeye ni kazini, nyumbani na kanisani. Haendi tofauti na maeneo hayo labda kwenye mambo ya jamii.

4. Ukimkosea hakuulizi na haoneshi kama amechukia ila utaulizwa siku nyingine na atawasilisha kwa njia ya utani.

5. Akikukosea ukiuliza atakuambia nisamehe baba......... hapo hata uongee vipi hatakujibu.

Hapendi kabisaa kijichanganya na WATU hasa ukitaka umuudhi fika nyumbani anza kumwongelea mtu, hapendi kabisaa na anachukia kwa dhati.

Haya ndio baadhi ya mambo ambayo nimeamua KUISHI NAYO na nimefamikiwa KUISHI NAYO kwa muda wa miaka 19 ya ndoa yetu.
She is really introvert.
 
Bora wewe unajibiwa asante baba, wengine ni wanabisha hawajakosea na wako sahihi.. [emoji1787][emoji23]

Ukishinda hoja utaambiwa basi yaishe.

Nina mwanangu ana majanga, wakati mwingine unaona hata aibu kumtembelea nyumbani kwake.

Mkewe ana kaujeri kakimya kimya, ukimuona ni mpole lakini ni mjeuri kinoooma, mwanangu anapata tabu saana, kuna muda anafikiria kumuacha.

Mie wangu ni kutaka kujua kila kitu in details, ananiboa saana, chochote kile atataka in details, hata apige simu mtu akuongeleshe atakuuliza nani huyo, ndio yupi. [emoji23][emoji1787] Unamuliza utamjuaje sasa, hata nikikutajia fulani huwezi kumjua [emoji23], sijui ni kupenda kuongea na simu au vipi

Hata umpelekee zawadi atataka kujua yoote, kama umekopa, umemnunulia na sh ngapi, unajiuliza we unataka kujua nini, yaani ni shughuli pevu [emoji23]

Kingine anapenda mnoo kuongea na simu, bora muwe karibu hii inasaidia, akiwa mbali anapiga simu ataongea mpaka stori zaitaisha, mie mvivu kubonga na FONI naishia kuweka loudspeaker tu.

Sometimes hana stori, anakupihia anakwambia mwanao anakuita, sasa mtoto Mwenyewe ndio bado hajatimiza mwaka vizuri, kuongea haongei, unajua tu hapa nimemisiwa.

Mengine madogo madogo, yanachangiwa na maisha yangu ya awali.

Elewa neno AWALI. lizingatie vema.

Binamu, wifi anakupenda sana.
 
B
Binamu, wifi anakupenda sana.
Binamu, kwa kuwa umesema wew, mie sipingi hata kidogo.
Binamu we haya ukisema mchanga sukari mie nalamba. 😂

Shida kubwa ni maisha yangu ya awali, nimeharibika binamu yangu, nishazoea maibilisi walikuwa wananipa K-vant murua kabisa, , sasa nimekutana na malaika wa mbinguni, ananipa maji na juice tu, tena kwa adabu na heshima zoote, mpaka magoti napigiwa!!
Nilizoea K-vant, ngumu kumeza, mshike mshike ndege tunduni,
Zile mbilinge mbilinge bayoyo nakosa binamu...
We ndio unanijua vyema binamu yako. 😌😌

Ndio maana tukashauriwe tusinjunje kabla ya ndoa, mkikutana wote bado aahh, kila anachofanya mwenzio dhahabu, sasa ushakutana na washenzi wa dunia ni mtihani.

Yote kwa yote nampenda pia wifi yako, nafurah wala sijutii kuwa nae.
Uje kutizama mjomba wako, mtoto atakuwa hamjui shangazi yake 😂🤣
 
B

Binamu, kwa kuwa umesema wew, mie sipingi hata kidogo.
Binamu we haya ukisema mchanga sukari mie nalamba. [emoji23]

Shida kubwa ni maisha yangu ya awali, nimeharibika binamu yangu, nishazoea maibilisi walikuwa wananipa K-vant murua kabisa, , sasa nimekutana na malaika wa mbinguni, ananipa maji na juice tu, tena kwa adabu na heshima zoote, mpaka magoti napigiwa!!
Nilizoea K-vant, ngumu kumeza, mshike mshike ndege tunduni,
Zile mbilinge mbilinge bayoyo nakosa binamu...
We ndio unanijua vyema binamu yako. [emoji18][emoji18]

Ndio maana tukashauriwe tusinjunje kabla ya ndoa, mkikutana wote bado aahh, kila anachofanya mwenzio dhahabu, sasa ushakutana na washenzi wa dunia ni mtihani.

Yote kwa yote nampenda pia wifi yako, nafurah wala sijutii kuwa nae.
Uje kutizama mjomba wako, mtoto atakuwa hamjui shangazi yake [emoji23][emoji1787]

Binamu, hao wa K-vant wanaamsha popo ila sio long term. Kuna umri unafika unahitaji utulivu na wifi ndo atakusaidia kufika huo umri salama.

Halafu wanaume mnapenda sana kashkash. Shem wako alikuwa ananisimulia story za ex wake alivyokuwa crazy sijui mgomvi, nimeishi naye miaka 3 nimegundua yule dada hakuwa crazy wala nini, ni huyu bwana anapenda tu akupande kichwani, ukasirike na kufoka, umnyime mzigo auombe siku 3 mradi tafrani tu.

Wifi atakuwa wa Tanga bwana. Sio kwa mahaba hayo. Mungu awalinde na awalindie ki-baby chetu. Shangazi anajaza kontena kutoka china, siji mwepesi.
 
Nahitaji kashikashi za faragha lakini sio kashi kashi za maisha, ndio maana nimedrop kashikashi za faragha ili nipate amani ya moyo kiukweli.. Uamuzi mgumu lakini una usalama wa nafsi, afya ya moyo wangu na akili pia.

Sio wote binamu, binafsi yangu sipendi kupigizana kelele, kitu makelele siwezi, niliwahi ishi na mtu uswahili mwingi akianza kuongea mie nautafuta mlango nasepa, siwezi kabisa majibishano, maweza ishia mnasa mtu kibao buree..
Nimekosea niambie kistaarabu, nami nitakiri kosa, unifokee kama umenizaa, hata mwenzangu akikosea siwezi mfokea ziaid ya kumjulisha kafanya sivyo, labda alete ubishi sasa.
Maswala ya kunyimana mzigo sitaki sikia, tugombane, tupeane mzigo na tuombane msamaha huko huko kwenye kupeana mzigo 😋😋
🤣🤣

Wifi yko ana asili ya tanga.. Lakini si mzaliwa wala mkazi wa huko.. 😂

Amini binamu, dua zako ziwe maqbur kabisa, mungu azipokee, nawe nakuombea mema kama unayoniombea mimi.

La mwisho nasema shangazi hana baya, ukifa huozi, mjomba wako anasubiri kontena la shangazi.. 😂
 
Bora wewe unajibiwa asante baba, wengine ni wanabisha hawajakosea na wako sahihi.. 🤣😂

Ukishinda hoja utaambiwa basi yaishe.

Nina mwanangu ana majanga, wakati mwingine unaona hata aibu kumtembelea nyumbani kwake.

Mkewe ana kaujeri kakimya kimya, ukimuona ni mpole lakini ni mjeuri kinoooma, mwanangu anapata tabu saana, kuna muda anafikiria kumuacha.

Mie wangu ni kutaka kujua kila kitu in details, ananiboa saana, chochote kile atataka in details, hata apige simu mtu akuongeleshe atakuuliza nani huyo, ndio yupi. 😂🤣 Unamuliza utamjuaje sasa, hata nikikutajia fulani huwezi kumjua 😂, sijui ni kupenda kuongea na simu au vipi

Hata umpelekee zawadi atataka kujua yoote, kama umekopa, umemnunulia na sh ngapi, unajiuliza we unataka kujua nini, yaani ni shughuli pevu 😂

Kingine anapenda mnoo kuongea na simu, bora muwe karibu hii inasaidia, akiwa mbali anapiga simu ataongea mpaka stori zaitaisha, mie mvivu kubonga na FONI naishia kuweka loudspeaker tu.

Sometimes hana stori, anakupihia anakwambia mwanao anakuita, sasa mtoto Mwenyewe ndio bado hajatimiza mwaka vizuri, kuongea haongei, unajua tu hapa nimemisiwa.

Mengine madogo madogo, yanachangiwa na maisha yangu ya awali.

Elewa neno AWALI. lizingatie vema.
Huyo mwanamke ANAKUPENDA SANA!

Usiwe unamuudhi... muheshimu sana! Na akitaka details mpe.
 
Me wa kwangu shida kubwa aliyonayo ni kwenyw kutoa papuchi tu especially akiwa ameshalala hataki kabisa kuamshwa. Yaani mtagombana hapo, na hutapata kitu na utaishia kununiwa na unaweza kukosa hata wiki 2 au 3. So nimeshajizoelea, nikitaka mambo namuwahi kabla hajalala, mwanzoni ilinipa shida sana baaye nikazoea tu. Kitu kingine anachoniboa ni mkitofautiana kidogo tu kosa liwe lake au lako basi hapo adhabu yake ni kukunyima papuchi😊, yaani hapo atanuna hata wiki na mzigo hupati. Yaani nilishaongea sana kuhusu hii issue lakini wala hajali. Uzuri wake ni mcha Mungu sana kanisani, jumuiya hakosi, watoto analea vizuri, mfuatiliaji wa masomo yao, msafi, mpishi mzuri sana, si mchoyo, kifupi ni mama bora wa wanangu.
Ila kama ujuavyo nyege hazina adabu kwa hiyo kukabikiana na hali hiyo nina single mama wangu mmoja huyo mzuri shape na nn alizalishwaga mapema, nikizidiwa na upriru naenda punguza nyege huko, shida ni cost zake mara nimeishiwa chakula, sijui nimuongezee ada ya mwanae, sijui pango la nyumba, mara gas, mara zamu yake kununua umeme etc.. Wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Me wa kwangu shida kubwa aliyonayo ni kwenyw kutoa papuchi tu especially akiwa ameshalala hataki kabisa kuamshwa. Yaani mtagombana hapo, na hutapata kitu na utaishia kununiwa na unaweza kukosa hata wiki 2 au 3. So nimeshajizoelea, nikitaka mambo namuwahi kabla hajalala, mwanzoni ilinipa shida sana baaye nikazoea tu. Kitu kingine anachoniboa ni mkitofautiana kidogo tu kosa liwe lake au lako basi hapo adhabu yake ni kukunyima papuchi[emoji4], yaani hapo atanuna hata wiki na mzigo hupati. Yaani nilishaongea sana kuhusu hii issue lakini wala hajali. Uzuri wake ni mcha Mungu sana kanisani, jumuiya hakosi, watoto analea vizuri, mfuatiliaji wa masomo yao, msafi, mpishi mzuri sana, si mchoyo, kifupi ni mama bora wa wanangu.
Ila kama ujuavyo nyege hazina adabu kwa hiyo kukabikiana na hali hiyo nina single mama wangu mmoja huyo mzuri shape na nn alizalishwaga mapema, nikizidiwa na upriru naenda punguza nyege huko, shida ni cost zake mara nimeishiwa chakula, sijui nimuongezee ada ya mwanae, sijui pango la nyumba, mara gas, mara zamu yake kununua umeme etc.. Wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana
Nilijua tu[emoji23][emoji23][emoji23]

,haya manung'uniko itakuwa umetafuta mbadala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkeo ni mama bora[emoji3059]
 
Kiswahili ni lugha ya taifa.. Hujaelewa kipi mzee!?
Nimekuelewa vizuri sana, sema wewe ndio umeshindwa kunielewa kwanini nimekujibu hivyo.....

Umesema kuwa wewe hupendi kuongea ongea mara kwa mara au sio muongeaji tuseme, wakati huo mkeo nimuongeaji sana kiasi kwamba mpaka muda mwingine unaona kero.....

Sasa na Mimi ndio nasemaje, wewe ulistahili kupata mwanamke mwenye gubu yaani yule ambaye haongei kabisa na hasa mkiwa mmetofautiana jambo anaweza akakaa hata wiki nzima haongei... Huyo mngeendana
 
Back
Top Bottom