Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
SawaaHata twende sasa kule mitupioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaaHata twende sasa kule mitupioni
Sidhani kama mtu angeweza kutania hayo yote, mkuu kuna watu wanaenjoy sana mahusiano yao, mimi nimeamini kabisaa na nawaombea wazeeke pamoja.Umeamini uongo wao. Wanatamani yale maisha ya tamthilia ndio yawe kwenye mahusiano yao. Chai hii wanatuletea.
Jamaa kakufunga mdomo kibingwa hadi umeamua kucheka. Nimecheka kama mazuri, sijui jamaa kayatoa wapi haya.😂😂😂😂😂😂😂
Sasa unataka nichukie ili iweje mi nami kanichekesha na kunifurahishaJamaa kakufunga mdomo kibingwa hadi umeamua kucheka. Nimecheka kama mazuri, sijui jamaa kayatoa wapi haya.
Inatakiwa ujinyonge.🙂🙃😉😊😇Sasa unataka nichukie ili iweje mi nami kanichekesha na kunifurahisha
Inatakiwa ujinyonge.[emoji846][emoji854][emoji6][emoji4][emoji56]
Sawa haina shida, kuwa na siku njema.Siwezi mkuu hapa nilipo nna furaha sana mtu yeyote hawezi niharibia siku yangu leo
Asante Nawe piaSawa haina shida, kuwa na siku njema.
Wanapatikana sayari gani kama hao niwafuate huko jamani😀😀Kwakweli nikimpoteza huyu nitalia kilio cha mbwa koko,😂😂 ila hizo drama zinafurahisha sana
Nimepiga za uso. Si unaona kapoa kama maji kwenye mtumgi. Nimemueleza ukweli kaamua awe mpole tu. 👊🤛🤜Hahaaaaa, bro umenichekesha sana asubuhi hii.
Anakupotosha huyo.Wanapatikana sayari gani kama hao niwafuate huko jamani😀😀
😂😂Nilijiokotea embe chini ya mnazi tuWanapatikana sayari gani kama hao niwafuate huko jamani😀😀
Ooh thank you mkuu kwa kuona hilo, huwa naona naandika kawaida tu jokes nyingi, but thank you, siku tutaonana tu Mungu atujaalie afya. Weekend njemaaIla sister unaonekana muungwana sana.. I hope one day nitakuja kukufahamu. Nimekuona unaandika vizuri kwenye nyuzi nyingi.
Hongera, hivi hana hata kaka yake tuwe ndugu sisi😀😀(joke bana)😂😂Nilijiokotea embe chini ya mnazi tu
Watu wana makovu kwenye mahusiano punguzeni kutoa ushuhuda watu wamepigwa matukio mpaka wamepoteana, dahSasa unataka nichukie ili iweje mi nami kanichekesha na kunifurahisha
Wangu jamani uwii! Ukikosea analisema jambo kama lilivyo bila hata chembe ya kupepesa macho.
Which is good, but kuna mambo huwa anakosea nashindwa kumface kumchana nampotezea tu nikiamini anajua anachofanya, ila ikija upande wangu nachanwa chanwa bila kuremba kitu. Sasa naona why mimi nambebea madhaifu yake yeye hanibebei? Is it fair?
Ukisafiri ukiwa unarudi lazima alazimishe kuja kukupokea, yaani hii ni lazima sio ombi, tatizo ni kwamba hata umwambie nusu saa kabla hujafika, au lisaa kabisa lazima achelewe, yaani lazima achelewe. Kwahiyo mimi kukaa airport/Au stendi dakika 10/15/20 ni kitu cha kawaida tu. Nilishamshauri hili suala la kunipokea aliache, ntapanda tax, bajaji etc ila hakubali ng'oo ni bora umuue! Nishanuna sana, nishazira sana ila haisaidii. Mwaka wa 9 huu.
Anyways.... Naishi humo!
😂😂😂😂Yangu hiyo hapo😀😀 kumbe kuna sheria ya kubonyeza dawa, naanza sasa