MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na quality tofauti na hizi za ndani.
Serikali isiyoajali afya za wananchi wake kuna wahuni wana-manupalate mifumo(high profile leaders) kwa kufyatua beer feki za nje na kikundi cha wahuni wapo tu.
Binafsi nimeacha kunywa beer za nje kwa usalama wa afya yangu maana test za siku hizi hazieleweki ..bora nikomae na hizi za TBL serengeti lite, safari (bia ngumu hizi) nk..hawa jamaa kidogo wako macho na wahuni wanaharibu brands zao kwa kufyatua vinywaji feki uchochoroni na bei ya local bia ukichakachua haiwezi kukulipa sana tofauti na hawa wakina flying fish and the likes.
Unajisifia unakunywa ma-heness ya gharama kumbe unakunywa gongo iliyochanganywa na chang'aa