Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

Mi naona hata hizi local beer siku hizi ni formulas tu, nani ahangaike hivi sasa kukupikia ngano wakati chemicals zipo? utawekewa ngano robo halafu kinachobaki ni chemicals tu.

Hata hao wazalishaji wa ndani huko viwandani na wao ni wale wale tu, ni kama hizi juice za matunda kutoka viwandani, ni formulas mwanzo mwisho.

Watu hawaaminiki.
 
Nyote wapuuzi hakuna ugonjwa wenye unafuu hapo "muulize Mbunge bwege, au mbambucha"
Bora sukari mara elfu kuliko figo tumia akili utajua ...yani ukimwambia mtu yoyote achague figo au kisukari basi watu tungechagua kisukari bila ya kupepesa macho.... figo na cancer ni ngoma draw au figo inezidi kansa kido
 
wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.

Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na quality tofauti na hizi za ndani.

Serikali isiyoajali afya za wananchi wake kuna wahuni wana-manupalate mifumo(high profile leaders) kwa kufyatua beer feki za nje na kikundi cha wahuni wapo tu.

Binafsi nimeacha kunywa beer za nje kwa usalama wa afya yangu maana test za siku hizi hazieleweki ..bora nikomae na hizi za TBL serengeti lite, safari (bia ngumu hizi) nk..hawa jamaa kidogo wako macho na wahuni wanaharibu brands zao kwa kufyatua vinywaji feki uchochoroni.

Unajisifia unakunywa ma-heness ya gharama kumbe unakunya gongo iliyochanganywa na chang'aa
Miaka kumi ijayo figo zitakuwa dili sana.
 
Uko sahihi ...Kwanza kuchakachua Serengeti ya Elfu 2 mpaka iwe Serengeti ni zaidi ya hiyo Elfu mbili..
 
kunywa ambazo hazina brandy i mean zenye umaarufu mkubwa hizo ngumu kuchakachua!,nani akachakachue pombe isiyo na brandy kubwa anajua hakuna soko!
 
Back
Top Bottom