Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
mpe mmoja atakushukuru sana.umenichekesha sana nina rafiki zangu tena vijana tu 30s na 40s wanaumwa figo hadi nimeogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpe mmoja atakushukuru sana.umenichekesha sana nina rafiki zangu tena vijana tu 30s na 40s wanaumwa figo hadi nimeogopa
Huu mkono wako tuu unaonekana wewe ni HBView attachment 3127516
Nipo na zimua hapa saiz na ngano OG
Braza hiyo tv unaangali umefumba jicho moja ukiwa timamu, ukilewa unaona nini hapo ??
Vipiwazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na quality tofauti na hizi za ndani.
Serikali isiyoajali afya za wananchi wake kuna wahuni wana-manupalate mifumo(high profile leaders) kwa kufyatua beer feki za nje na kikundi cha wahuni wapo tu.
Binafsi nimeacha kunywa beer za nje kwa usalama wa afya yangu maana test za siku hizi hazieleweki ..bora nikomae na hizi za TBL serengeti lite, safari (bia ngumu hizi) nk..hawa jamaa kidogo wako macho na wahuni wanaharibu brands zao kwa kufyatua vinywaji feki uchochoroni.
Unajisifia unakunywa ma-heness ya gharama kumbe unakunya gongo iliyochanganywa na chang'aa
Vipi kuhusu Dompo mkuu?wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.

😀😀😀Huu mkono wako tuu unaonekana wewe ni HB
Unalinganisha ugonjwa wa figo na kisukari.🤣🤣🤣 tatzo huna pesa unajifanya unakunywa local bia alaf miaka 5 mbele unauguwa kisukar sasa hapo mgonjwa fgo na kisukar yup atakuwa anayo msongo wa mawazo?
Geto kali mkuuView attachment 3127537
Hapo vipi mkuu, umeiona vizuri au bado unaiona kwa wenge..?
Kawaida tuu kaka ila ahsante.Geto kali mkuu
Mzee wa Kayumba schools...Vipi
Vipi kuhusu Dompo mkuu?
Niasaidie mkuu.Unalinganisha ugonjwa wa figo na kisukari.
Gharama za insulin na za dialysis unaona zinajaribu hata kuelekeana? Wewe bongo hii uliwahi ona celebrity gani anachangiwa atibiwe kisukari. Wakati waliochangiwa watibiwe figo hadi Prof. Jay na Ruge wapo.
Hivi uliwahi tembelea familia ambayo mwenye nyumba ameugua figo kwa mwaka mmoja tu, hata panya ukimbia nyumbani. Hata vizibo vya soda hupoteana, chupa za maji hukosa. Umaskini unakuwa headquarters. Kuna rafiki yangu tulianza kumuita tapeli anakopa sana, kaacha kuchangia misiba ya wenzake na shughuli muhimu. Kumbe anauguza mzee wake figo hela zimeisha, wameuza mali wamemaliza, wamekopa wamefikia kikomo ndio wakanyoosha mikono akafariki. Bajeti ya hospitali inapiga zaidi ya 500k kwa wiki, na halali uko wala.
Figo siyo tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama samia bushiri ...figo inafarakanisha familia mgonjwa mmoja wa figo tayari ni wagonjwa wawili wa figo ..kimbembe ni kikubwa ndani ya familia maana ni ugonjwa wa kafara mbili ....huo ugonjwa unafunua mambo mengi sana ndani ya familia maana matibabu yake ni kujitoa sadaka nafsi mbili ...ni sawa sawa na ndugu ysko yuko kwenye mafuliko ya maji unajiuliza uende kumsahidia muangamie wote au umwache uokoe nafsi yako ...sema kwa sababu akili zako ndogo uwezi kuelewa ninacho sema.Nyote wapuuzi hakuna ugonjwa wenye unafuu hapo "muulize Mbunge bwege, au mbambucha"
Mimi sio mnywa beer ila napenda desperado japo watu wanasema beer za akina mama ila mimi napenda tastee yake. Ile ikifojiwa ntajua tuwazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na quality tofauti na hizi za ndani.
Serikali isiyoajali afya za wananchi wake kuna wahuni wana-manupalate mifumo(high profile leaders) kwa kufyatua beer feki za nje na kikundi cha wahuni wapo tu.
Binafsi nimeacha kunywa beer za nje kwa usalama wa afya yangu maana test za siku hizi hazieleweki ..bora nikomae na hizi za TBL serengeti lite, safari (bia ngumu hizi) nk..hawa jamaa kidogo wako macho na wahuni wanaharibu brands zao kwa kufyatua vinywaji feki uchochoroni.
Unajisifia unakunywa ma-heness ya gharama kumbe unakunya gongo iliyochanganywa na chang'aa
Fgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magadKwa hiyo wewe unaona figo ni cha mtoto kwa kisukari wewe kweli bonzo😁😁 usicheze na ugonjwa wa figo
Kitu cha kusikitisha kwa huyo jamaa ni ubishi hata baada ya kueleweshwa ...figo inafarakanisha familia inauzunisha familia inasononesha familia maana ni ugonjwa wa kujitoa kafara kwa nafsi mbili.Unalinganisha ugonjwa wa figo na kisukari.
Gharama za insulin na za dialysis unaona zinajaribu hata kuelekeana? Wewe bongo hii uliwahi ona celebrity gani anachangiwa atibiwe kisukari. Wakati waliochangiwa watibiwe figo hadi Prof. Jay na Ruge wapo.
Hivi uliwahi tembelea familia ambayo mwenye nyumba ameugua figo kwa mwaka mmoja tu, hata panya ukimbia nyumbani. Hata vizibo vya soda hupoteana, chupa za maji hukosa. Umaskini unakuwa headquarters. Kuna rafiki yangu tulianza kumuita tapeli anakopa sana, kaacha kuchangia misiba ya wenzake na shughuli muhimu. Kumbe anauguza mzee wake figo hela zimeisha, wameuza mali wamemaliza, wamekopa wamefikia kikomo ndio wakanyoosha mikono akafariki. Bajeti ya hospitali inapiga zaidi ya 500k kwa wiki, na halali uko wala.
Hapo kwenye ya nguruwe hapo ndiyo kwenye swali ..kwanini uwekewe ya nguruwe nasi ya binadamu ? Kimbembe kipo hapo ...familia kupoteza upendo nkFgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magad
😜😜😜 nimeelewa mkuu sy ubshi n kupeana tu kaelimu 👍🏻Kitu cha kusikitisha kwa huyo jamaa ni ubishi hata baada ya kueleweshwa ...figo inafarakanisha familia inauzunisha familia inasononesha familia maana ni ugonjwa wa kujitoa kafara kwa nafsi mbili.
Pia figo ya nguruwe ni matibabu mapya mgonjwa wa kwanza kuwekewa ya nguruwe ameishi siku chache tu amekufa ...tatizo upo nje ya taarifa sahihi za mambo .Fgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magad
Nimejiunga na hii ID 2017 naelekea kuanza form 5. Hatujapishana sana ila nina ID ya zamani stress za NECTA form four zikafanya nisahau passwordNiasaidie mkuu.
Nimejiunga JF 2016 niko form V mwanzo nilijuaga watu wa humu wana akili nyingi kumbe kuna vilaza wa kushato humu ndani.