MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
- Thread starter
- #81
Ukaenda kuvaa bikini yakoNmeishia kwenye chupi na sehemu za siri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukaenda kuvaa bikini yakoNmeishia kwenye chupi na sehemu za siri
Nafsi mbili, ya mgonjwa na yanani?Kitu cha kusikitisha kwa huyo jamaa ni ubishi hata baada ya kueleweshwa ...figo inafarakanisha familia inauzunisha familia inasononesha familia maana ni ugonjwa wa kujitoa kafara kwa nafsi mbili.
Kijana ana umeme mkubwa kichwani ndio maana ulidhani hivyo.Dah!! Nilijuaga una umri mkubwa sana kumbe bado
Nilishtuka mapema baada ya kuona ladha zinakua tofautiwazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na quality tofauti na hizi za ndani.
Serikali isiyoajali afya za wananchi wake kuna wahuni wana-manupalate mifumo(high profile leaders) kwa kufyatua beer feki za nje na kikundi cha wahuni wapo tu.
Binafsi nimeacha kunywa beer za nje kwa usalama wa afya yangu maana test za siku hizi hazieleweki ..bora nikomae na hizi za TBL serengeti lite, safari (bia ngumu hizi) nk..hawa jamaa kidogo wako macho na wahuni wanaharibu brands zao kwa kufyatua vinywaji feki uchochoroni.
Unajisifia unakunywa ma-heness ya gharama kumbe unakunya gongo iliyochanganywa na chang'aa
Ewaaa yahn changamoto sana unanunua bia moja tsh 5k ukinywa 5 inakuwa tsh 25k hiyo halafu inakuja kukuletea athari kubwa mwilinuNilishtuka mapema baada ya kuona ladha zinakua tofauti
Anayekutolea figoNafsi mbili, ya mgonjwa na yanani?
Sure.Ongeza hapo soda za energy na supu ya pweza. Zote hizo ni hatari.
Watengenezaji wa supu ya pweza si waadilifu. Wengi huongeza viagra kwenye supu ili ionekane inafanya kazi tarajiwa kuvutia wateja. So, kama unakunywa hiyo supu kila siku maana yake unakula dawa daily, na matokea utayapata kupitia figo, nk.
Wanaua figo hao.....buku 25 yako inakuja kukupa gharama kubwa zaidi za matibabu.....kwakweli kama wenye mamlaka wenyewe wanawalea inabidi tu kujiokoa kivyakoEwaaa yahn changamoto sana unanunua bia moja tsh 5k ukinywa 5 inakuwa tsh 25k hiyo halafu inakuja kukuletea athari kubwa mwilinu
Labda kama hupatani nazo.....ila kwa wengine bora kunywa local tuKuna baadhi ya beer za ndani ukinywa unaharisha mwanzo mwisho.
Back to Kangala, wanzuki and mbege.wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na quality tofauti na hizi za ndani.
Serikali isiyoajali afya za wananchi wake kuna wahuni wana-manupalate mifumo(high profile leaders) kwa kufyatua beer feki za nje na kikundi cha wahuni wapo tu.
Binafsi nimeacha kunywa beer za nje kwa usalama wa afya yangu maana test za siku hizi hazieleweki ..bora nikomae na hizi za TBL serengeti lite, safari (bia ngumu hizi) nk..hawa jamaa kidogo wako macho na wahuni wanaharibu brands zao kwa kufyatua vinywaji feki uchochoroni na bei ya local bia ukichakachua haiwezi kukulipa sana tofauti na hawa wakina flying fish and the likes
Unajisifia unakunywa ma-heness ya gharama kumbe unakunywa gongo iliyochanganywa na chang'aa
Nipale mnapo ambiwa mgonjwa wenu anatakiwa awekewe figo hapo ndugu wa karibu ndiyo anatakiwa kujitolea figo tayari wagonjwa wanakuwa wawili na kuna matukio mengi tu ya mtoa figo na mpokea figo kufa baada ya miaka michache sanaNafsi mbili, ya mgonjwa na yanani?
Tunazungumzia bongo ambapo Dar muuguzi alirekodiwa akiosha vifaatiba kwa majichumvi ya bombani, kisha vingetumika kwa mgonjwa mwingine baada ya yule wa mwanzo.Lakini a simple internet search does not suggest ulichosema hapa.
Local bia ambazo zina usalama hapo unakunywa bia kumi na mbili na maji makubwa ya buku.Wanaua figo hao.....buku 25 yako inakuja kukupa gharama kubwa zaidi za matibabu.....kwakweli kama wenye mamlaka wenyewe wanawalea inabidi tu kujiokoa kivyako
Kwanini ulihisi hivyo. Ungenisalimia mkuuDah!! Nilijuaga una umri mkubwa sana kumbe bado
Muombe Mungu akupe afya na siha njema ndugu "Acha" nikupe ushindi ugonjwa ni ugonjwa tuFigo siyo tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama samia bushiri ...figo inafarakanisha familia mgonjwa mmoja wa figo tayari ni wagonjwa wawili wa figo ..kimbembe ni kikubwa ndani ya familia maana ni ugonjwa wa kafara mbili ....huo ugonjwa unafunua mambo mengi sana ndani ya familia maana matibabu yake ni kujitoa sadaka nafsi mbili ...ni sawa sawa na ndugu ysko yuko kwenye mafuliko ya maji unajiuliza uende kumsahidia muangamie wote au umwache uokoe nafsi yako ...sema kwa sababu akili zako ndogo uwezi kuelewa ninacho sema.
Uliwahi ona mtu kawa disgnosed na ugonjwa wa figo akaishi miaka hata 10?
Sasa kisukari watu wanazaliwa nayo hadi wanazeeka, na watu kadhaa wanapona. Figo ikishafeli wewe hurudi nyuma labda uwekewe nyingine, sasa unaitoa wapi kirahisi.
Huyo Mbunge Bwege unakuta ana miaka nenda rudi na kisukari. Na wala hatumii gharama kubwa kuishi nayo, sasa figo dialysis kwa wiki ni mshahara wa mwezi mtumishi wa diploma.